Serikali imetoa onyo kuhusu shughuli za upatu, ambapo Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Emmanuel Tutuba, amesema kwamba mtu yeyote anayeshiriki katika upatu kwa kukusanya fedha ili kuzigawa kwa wachache, huku akidai kuwa lengo ni kuvutia watu kuleta fedha zao bila kuwa na biashara halali ya...
Wakuu,
Gavana wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) Emmanuel Tutuba akiwa anazungumza kwenye mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Florian Kaijage amekiri kuwa deni la taifa hilo linazidi kukua ila bado lipo chini ya ukomo wa uwiano wa deni la taifa na pato la taifa unaokubalika kimataifa wa asilimia...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye mzunguko kuanzia tarehe mosi Februari mwaka huu.
Gavana Tutuba amesema hayo wakati...
emmanuel tutuba
fedha
gavanawabenkikuu
kuanza
kutumika
mpya
mwigulu
mwigulu nchemba
noti
noti mpya
saini
tarehe
waziri
waziri wa fedha
wizara ya fedha na mipango
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, amefanya mabadiliko makubwa ya uongozi kwa kumfuta kazi mkuu wa jeshi, mkuu wa polisi, na gavana wa benki kuu, kwa mujibu wa tangazo la shirika la habari la serikali SSBC. Hakutoa sababu za mabadiliko hayo. Paul Nang Majok...
Benki Kuu ya Tanzania inatarajia kuanza kuondoa kwenye mzunguko noti za zamani za shilingi ishirini (20), mia mbili (200), mia tano (500), elfu moja (1000), elfu mbili (2000), elfu tano (5000), na elfu kumi (10000) za matoleo ya mwaka 1985 hadi 2003, pamoja na noti ya shilingi mia tano (500)...
Rais Joseph Boakai amechukua hatua hiyo baada ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (GAC) kuripo kuwa Gavana Aloysius Tarlue alikataa kutoa taarifa muhimu wakati wa Ukaguzi na hivyo kuongeza mashaka juu ya utendaji wake.
Pia, Tume ya Ukaguzi imesema Uongozi wa Benki Kuu haukusimamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.