Ninashukuru sana kupata gawio langu toka Mama Samia Bond baada ya kupiga kelele nyingi.
Mbona tena nimeona imekatwa kodi ili hali mlituaminisha kuwa itakuwa haikatwi kodi?.
Nawaomba msiwe mnatucheleweshea gawio na kama ilivyo taratibu ni baada ya miezi mitatu.
Ahsanteni sana kwa kujali.