My Take
Wanasiasa wa Afrika yote Wanafanana,ni Bora Kila mtu alipata nafasi achukue chake mapema badala ya kukaza na kujifanya Mzalendo.
Kwa Afrika hapa,Kuwa Mzalendo ni kuchagua umaskini na ujinga.
=====
Gayton McKenzie, mwanasiasa wa upinzani ambaye safari yake ya maisha yalizungukwa na...