gaza

The Gaza Strip (; Arabic: قِطَاعُ غَزَّةَ‎ Qiṭāʿu Ġazzah [qi.tˤaːʕ ɣaz.zah]), or simply Gaza, is a self-governing Palestinian territory on the eastern coast of the Mediterranean Sea, that borders Egypt on the southwest for 11 kilometers (6.8 mi) and Israel on the east and north along a 51 km (32 mi) border. Gaza and the West Bank are claimed by the de jure sovereign State of Palestine.
The territories of Gaza and the West Bank are separated from each other by Israeli territory. Both fell under the jurisdiction of the Palestinian Authority, but the strip has since the Battle of Gaza in June 2007 been governed by Hamas, a Palestinian fundamentalist militant Islamic organization which came to power in the last-held elections in 2006. It has been placed under an Israeli and US-led international economic and political boycott from that time onwards.The territory is 41 kilometers (25 mi) long, and from 6 to 12 kilometers (3.7 to 7.5 mi) wide, with a total area of 365 square kilometers (141 sq mi). With around 1.85 million Palestinians on some 362 square kilometers, Gaza ranks as the 3rd most densely populated polity in the world. An extensive Israeli buffer zone within the Strip renders much land off-limits to Gaza's Palestinians. Gaza has an annual population growth rate of 2.91% (2014 est.), the 13th highest in the world, and is often referred to as overcrowded. The population is expected to increase to 2.1 million in 2020. In 2012, the United Nations Country Team (UNCT) in the occupied Palestinian territory warned that the Gaza Strip might not be a "liveable place" by 2020 and as of 2020, Gaza suffered shortages of water, medicine and power, a situation exacerbated by the coronavirus crisis. According to Al Jazeera "19 human rights groups urged Israel to lift its siege on Gaza". The UN has also urged that the blockade be lifted while a report by UNCTAD prepared for the UN General Assembly and released on 25 November 2020, said that Gaza’s economy was on the verge of collapse and that it was essential to lift the blockade. Due to the Israeli and Egyptian border closures and the Israeli sea and air blockade, the population is not free to leave or enter the Gaza Strip, nor allowed to freely import or export goods. Sunni Muslims make up the predominant part of the Palestinian population in the Gaza Strip.
Despite the 2005 Israeli disengagement from Gaza, the United Nations, international human rights organisations, and the majority of governments and legal commentators consider the territory to be still occupied by Israel, supported by additional restrictions placed on Gaza by Egypt. Israel maintains direct external control over Gaza and indirect control over life within Gaza: it controls Gaza's air and maritime space, and six of Gaza's seven land crossings. It reserves the right to enter Gaza at will with its military and maintains a no-go buffer zone within the Gaza territory. Gaza is dependent on Israel for its water, electricity, telecommunications, and other utilities. The system of control imposed by Israel is described as an "indirect occupation". Some other legal scholars have disputed the idea that Israel still occupies Gaza. The extent of self-rule exercised in the Gaza Strip has led some to describe the territory as a de facto independent state.
When Hamas won a majority in the 2006 Palestinian legislative election, the opposing political party Fatah refused to join the proposed coalition, until a short-lived unity government agreement was brokered by Saudi Arabia. When this collapsed under joint Israeli and United States pressure, the Palestinian Authority instituted a non-Hamas government in the West Bank while Hamas formed a government on its own in Gaza. Further economic sanctions were imposed by Israel and the European Quartet against Hamas. A brief civil war between the two Palestinian groups had broken out in Gaza when, apparently under a U.S.-backed plan, Fatah contested Hamas's administration. Hamas emerged the victor and expelled Fatah-allied officials and members of the PA's security apparatus from the strip, and has remained the sole governing power in Gaza since that date.

View More On Wikipedia.org
  1. Marekani na Israel wameziomba Nchi za Afrika Mashariki zikubali kuwapokea Wapalestina wa Gaza

    Kulingana na gazeti la Financial Times, inasemekana Marekani na Israel wamewasiliana na viongozi wa Afrika Mashariki kuomba kuwahamishia Afrika Mashariki Wapalestina wote waishio Gaza.
  2. U

    Marekani na Israel zapendekeza Wapalestina watakaohamishwa kutoka gaza waende kuishi somalia, Sudan na somaliland, mawasiliano yanaendelea kufanywa

    Wadau hamjamboni nyote Taarifa mpya kabisa juhudi zaendelea kutekeleza mpango wa Marekani kuhamisha Wapalestina kutoka gaza Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Advertisement Israel and US said in contact with Sudan, Somalia about resettling Gazans Officials say approaches also made to...
  3. U

    Israel yakata usambazaji umeme kwenye maeneo yote ya gaza, lengo kuwalazimisha magaidi wa Hamas kuachia huru mateka 59 inaowashikilia hadi sasa

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri wa Nishati, Eli Cohen, ameagiza Shirika la Umeme la Israel (IEC) kusitisha mara moja usambazaji wa umeme kwa Ukanda wa Gaza, katika kile kinachoonekana kuwa ni juhudi za kuongeza shinikizo kwa eneo hilo, ambapo mateka 59 waliotekwa kutoka Israel bado...
  4. Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa kuijenga upya Gaza.

    Wanaukumbi. Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa ujenzi wa Gaza ambao ungegharimu $53bn na kuepuka kuwafukuza Wapalestina kutoka katika eneo hilo. =============== BREAKING: The foreign ministers of...
  5. Wananchi Gaza wasema hawatishiki na kitisho cha kuuliwa wote kilichotolewa na Trump. Hakuna kilichobaki kuhofia kukipoteza

    Mmoja wa waliothirika na hama hama ndani ya Gazi ni mzee Yasser Alsharafa ambaye alipohojiwa kuhusiana na matamshi ya hivi karibu kutoka kwa raisi wa Marekani, amesema hatishiki na maneno hayo kwani kwa sasa hana chochote cha kuhofia kukipoteza. Kwa sasa mzee huyo anashughulika na kuuza pipi...
  6. Mpango wa uhamishaji wakazi wa gaza wazinduliwa!

    Mpango wa Uhamiaji wa Wakaazi wa Gaza Wazinduliwa Israel imekamilisha maandalizi muhimu ya kuwezesha uhamiaji wa wakaazi wa Gaza, mradi tu nchi zilizo tayari kuwapokea zinaweza kupatikana. Maafisa wa usalama waliiambia Israel Hayom kwamba utaratibu umeanzishwa kuruhusu hadi watu wa Gaza 2,500...
  7. Rawan Osman akihutubia baraża la Umoja wa Mataifa azishutumu nchi za Iran, Misri, Syria na Lebanon kwa ugaidi na unafiki!!

    “Je, umekasirishwa na vita vya Gaza? Mimi pia nimekasirishwa Naitwa Raman Rawan Osman Mimi ni Mshami nusu, nusu Lebanon Tangu Oct 07,2023 nilitembelea Israeli mara tisa na ninataka kushuhudia mbele za Mungu na mbele zako kuwa- Israeli sio Tatizo. Wiki iliyopita Israel ilimzika Shiri Bibas na...
  8. Marekani, Hamas katika Mazungumzo ya Moja kwa Moja Juu ya Kuachiliwa kwa mateka huko Gaza

    Wanaukumbi. Mateka watano wa Marekani na Israel wanazuiliwa huko Gaza, huku mmoja akiripotiwa kuwa bado yu hai. Ikulu ya Marekani imesema mazungumzo hayo yanaendelea, baada ya Hamas kuthibitisha kuwa wamekutana mara kadhaa na mjumbe maalum wa Marekani anayehusika na masuala ya mateka Adam...
  9. Israel yaupinga mpango wa waarabu kuhusu ujenzi wa Gaza

    Israel inakataa mpango wa nchi za Kiarabu kukabiliana na Gaza. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje: "Taarifa iliyotolewa kwenye kikao cha dharura cha mkutano wa kilele wa ajabu wa Waarabu haiangazii uhalisia wa hali ilivyo baada ya Oktoba 7, 2003, na inabakia kukita mizizi katika mitazamo ya...
  10. Nchi za kiarabu zaupiga kofi mpango wa Trump na Netanyahu kuhusu Gaza. Wasema wana mpango bora zaidi

    Viongozi wa nchi za kiarabu waliokutana huko Cairo wamesema Gaza itajengwa kwa plani nzuri waliyokwisha kuibuni wakati wapalestina hao wakiwa humo humo ndani. Raisi Elsisi ambaye mara nyingi ameonekana kama kibaraka mkubwa wa Marekani ameongoza kwa kutoa tamko kali akisema zaidi ya kuijenga...
  11. Mufti Mkuu wa Saudi Arabia: Tulichokiona leo huko Gaza ni fedheha kwa Uislamu, kitendo cha kumkufuru Mwenyezi Mungu

    Ila wanywa gahawa wa bongo wanawa brand kama mashujaa. SHAME ON YOU!!
  12. Geti la Jahanamu wanalotaka kulifungulia Trump na Netanyahu huko Gaza, waangalie vyema lisije likafungukia upande wao

    Bado nasimamia kwamba Trump na Netanyahu wamechanganyikiwa kuhusiana na wapalestina na hasa Hamas. Wanapenda na wangetamani vita vingekwisha na kutangaza ushindi.Jambo hilo ni gumu kwa sasa na Hamas wameganda bado huko Gaza. Katika nyakati tofauti raisi Trump na mwenzake huyo wametoa matamshi...
  13. Trump anamtaka Putin wagawane Ukraine, Gaza.

    Trump ni mfanyabishara makubwa, siasa zake ni siasa za kibiashara zaidi, anaifahamu kuwa Urusi ni taifa lenye mali, nguvu na technology kubwa ya Kila kitu. Anajua kuwa Urusi ni kikwazo kwa Marekani na Ulaya kijeshi na kirasilimali, hivyo hawawezi kuitoa Ukraine ambayo ina utajiri mkubwa wa...
  14. Takbir: Marekani kuinunua gaza ya wavaa kobazi

    #HABARI Rais wa Marekani Donlad Trump ametangaza kuwa Marekani imedhamiria kununua na kumiliki Ukanda wa Gaza na kuhamisha Wapalestina milioni mbili wanaoishi huko, licha ya pendekezo hilo kupingwa vikali duniani. Trump amewaambia wanahabari kuwa huenda akaruhusu mataifa ya kiarabu kuhusika...
  15. Rais Trump kuwahamisha Wapalestina ili kuijenga Upya Gaza? Ntetanyahu amuunga Mkono Trump !!

    Hiyo inaitwa danganya toto, tunawahamisha Wapalestina Kwa Muda, wanaenda Saudia ili tuwajengee kagaza kazuuuuuuri katamuuu kana maghorofa ya kunesanesa ,viwanja vikali , kagaza kama Paris vile , alafu mtarudi baadae eehhh sawa Wapalestina 🤣🤣🤣 Hamrudi Ng'ooooo , ndo itakua imeishaa !! The...
  16. Netanyahu na wenzake walisema Gaza hamna njaa mpaka congress wakampigia makofi, leo analalamika kuwaona mateka wake hali zao

    Wanaukumbi. All three Israeli captives were starved because of Israel. Israel controls the borders and the aid going in. It is Israel that imposed starvation on Gaza as a whole. The irony is that the same Israelis who claimed there was no famine in Gaza and ignored the suffering of Palestinian...
  17. Mjumbe wa Congress ataka Trump afanyiwe impeachment kwa matamshi yake kuhusu Gaza

    Tamko alilolitoa Donald Trump akiwa na Benjamin Netanyahu akisema ataichukua Gaza na kuijenga upya kwa kuwaondosha wapalestina imepelekea mshtuko mkubwa kwa viongozi wa mataifa mengi pamoja na wanasiasa wa Marekani. Wanasiasa waliokuwepo ukumbini wakati Trump akisema hayo kama hitimisho la...
  18. Ukweli kuhusu mgogoro wa Ukraine na Gaza!

    Ni rasilimali tu hakuna kingine! Wakubwa wa dunia huangalia faida kwanza kabla ya kuingia vitani! Mgogoro wa Ukraine: 3 Feb, 2025 20:36 https://www.rt.com/news/612127-trump-demand-rare-earth-ukraine/ 5 Feb, 2025 07:44 https://www.rt.com/russia/612197-ukraine-doesnt-control-minerals/...
  19. Trump na Netanyahu wataondoka hapa duniani watawaacha Wapalestina Gaza

    Hawa magaidi wawili wanapanga openly kua wawahamishe watu gaza ili wajenge wachukue wao eneo. Baada ya kuwaua, sasa wanataka kuwaondoa, ila ukweli ni kua watashindwa. Na ni aibu hasa kwa wanaoshabikia haya yanayowakuta wapalestina. May cowards get 10 times of suffering of Palestinians, may...
  20. Marekani yakubaliana Israel kuitwaa Gaza na kuwatimua Wapalestina. Je wataweza au ni tamaa ya kusiklizwa na ndoto za Trump?

    Kuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu. Je, ataweza au ndo mgogoro unaanza upya? Je tangu lini Trump akawaonea huruma wanadamu wenzake badala ya kuwaibia na kuwanyonya? Eti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…