gazeti la nipashe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Pre GE2025 Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Leo. Kiukweli kabisa, upinzani Tanzania una hali mbaya sana, uko dholfu bin taaban kwa kukosa watu wa mikakati, hivyo kuendelea kufanya siasa za kiharakati kwa kutumia utopian politics!, badala ya kufanya siasa za kimikakati, matokeo...
  2. Cute Wife

    Pre GE2025 Uhuru wa Habari: Gazeti la Nipashe Februari 8 kuhusu ARV kuanza kuuzwa halikufika mtaani, kama walikuwa na ushahidi shida ilikuwa wapi?

    Wakuu, Asubuhi ya Jumamosi Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa aliweka pandiko kwenye account yake ya Insta iliweka lebo kwenye gazeti la Nipashe "SIO KWELI (MISINFORMATION)" na kuongeza maelezo kuwa; PUUZENI UPOTOSHAJI HUU WA TAARIFA ZA DAWA ZA KUFUBAZA VIRUSI VYA UKIMWI (ARV). Dawa haziuzwi...
  3. Nyendo

    Waziri Mwigulu, tunakupuuza wewe na si Nipashe

    MWIGULU TUNAKUPUUZA WEWE SIYO NIPASHE. Mwigulu Nchemba, lawama zako usiwape NIPASHE. Umenukuu POST yangu. Sisi ni wamiliki wa pesa zilizopo (BoT). Tunahitaji ufafanuzi wa kueleweka. NIPASHE wamerejea. (1) ripoti za uwajibikaji 2022/23 zilizotokana na Ripoti za CAG uliofanywa na WAJIBU (2)...
Back
Top Bottom