gazeti la serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais kutwaa ardhi kwa manufaa ya umma mita za mraba 233,000 Manispaa za Ubungo na Kinondoni

    Tangazo linatolewa kwamba Mheshimiwa Rais anakusudia kutwaa kwa manufaa ya umma ardhi ya ukubwa wa mita za mraba 233,000 zilizopo Manispaa ya Kinondoni na Ubungo Mkoa wa Dar es Salaam na inayohusisha makazi ya watu katika makutano ya Barabara ya Bagamoyo na Kunduchi (Mbuyuni), Sam Nujoma na Chuo...
  2. Spika wa Bunge amtangaza rasmi Prof. Kindiki kama Naibu Rais kwenye Gazeti la Serikali

    Spika wa Bunge la Kitaifa, Moses Wetangula, ametangaza rasmi Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais kupitia Gazeti la Serikali, licha ya kuwepo kwa amri ya mahakama iliyotolewa ili kusitisha mchakato huo. Hii inakuja wakati ambapo mvutano wa kisheria unaendelea kuhusiana na uteuzi huo, lakini Spika...
  3. Tangazo dogo kwenye gazeti la serikali huchukua muda gani kutoka?

    Kwema wakuu? Naomba kujua ukishalipia tangazo dogo kwenye gazeti la serikali huchukua muda gani ili tangazo litangazwe kwenye gazeti?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…