gazeti la uhuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    Mshume Kiyate ndani ya Gazeti la Uhuru

    Picha ya Mshume Kiyate na Julius Nyerere ya mwaka wa 1964 imechapwa katika Gazeti la Uhuru hilo hapo chini. Picha hii alinipa Mwalimu wangu Mzee Kissinger pamoja na maelezo yake.
  2. Mohamed Said

    Bilal Rehani Waikela katika gazeti la Uhuru

    Muasisi wa TANU Western Province Mzee Bilal Rehani Waikela yumo katika gazeti la Uhuru la leo.
  3. Ngungenge

    Nani alaumiwe, Mzee Mangula au Gazeti la Uhuru au wote au kinyume chake tuwapongeze?

    Kuhusu mahojiano yayaliyofanyika kati ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula na Gazeti la UHURU mimi najikita kwenye dhima ya Mahojiano hasa ya maoni Mzee Mangula kuhusu ujenzi wa bandari ya Bagamoyo na sababu sa Gazeti la uhuru kuuliza Mangula na ufafanuzi wangu. Pengine Gazeti la...
  4. Gwajima

    Mwenyekiti wa CCM kuita gazeti la chama "vigazeti" ni kosa kubwa

    Nanukuu "Wameanza kutuchokoza, Kuandika kwenye vigazeti kuwa Samia hata gombea, nani kasema." Hapa nadhani mwenyekiti ameteleza maana gazeti lililoandika habari hii ni gazeti la Uhuru linalomilikiwa na Chama cha Mapinduzi. Kuliita gazeti hili kigazeti ni kosa kubwa sana. Ila kama ndiyo...
  5. M

    Ndani ya CCM kunani? Kwanini gazeti la Uhuru na wahariri kujitoa muhanga kwa lolote?

    Sitaki kuchangia sana. Ukijiuliza maswali ni kama kuna kitu nyuma ya pazia, maana kama sisi wananchi wa kawaida tulishanga kwani hatukuwai msikia mama akisema, ila tulimsikia tu akizuia watu kuanza kutengeneza makundi ya kutafuta Urais 2025, iweje jamaa watesti kutingisha kiberiti mapema? Hata...
  6. Mohamed Said

    Prof. Kighoma Ali Malima na gazeti la Uhuru

    GAZETI LA UHURU LILIPOSEMA KUWA PROF. MALIMA ATAJITOA CCM MSIKITINI TABORA 1995 Ijumaa moja tarehe 15 Julai mwaka wa 1995 gazeti la Uhuru, lilibeba kichwa cha habari katika wino mweusi uliokoza likisema kuwa siku hiyo Prof. Kighoma Ali Malima atatangaza kujitoa kwake CCM kutoka Msikiti Mkuu wa...
  7. Doctor Mama Amon

    Ernest Sungura na Madudu ya gazeti la Uhuru: Kulikoni?

    Ernest Sungura, Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru Communications aliyesimamishwa Ernest Samson Sungura ni Mkurugenzi Mtendaji wa Uhuru Communications aliyesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa kosa la gazeti la Uhuru kumlisha maneno Raois Samia. Toleo lipo hapa chini. Sungura ni miongoni mwa...
  8. kavulata

    Alichofanya Mhariri ya Gazeti la Uhuru kina harufu ya uhaini

    Gazeti la Chama Tawala limefungiwa kwa kuandika taarifa ya isiyokuwa sahihi kuhusu Mkuu wa Nchi na Amirijeshi Mkuu wetu ambayo imesababisha taharuki za kisiasa, kikanuni na kikatiba kwa taifa. Haiwezekani gazeti la Chama tawala likosee taarifa kuhusu Mwenyekiti wa chama wao na Mkuu wa taifa kwa...
  9. C

    Kama issue ya gazeti la Uhuru siyo spinning, basi Mwenyekiti wa CCM Hana watu kabisa

    Kuna matatu watu wameyafikiria kutokana na issue ya gazeti la uhuru jana plus reaction yake: * Kuzima mjadala wa mahojiano ya SSH na Salim Kikeke amabayo kiukweli yalikuwa ni disaster sana sana yaliongeza sympathy kwa mbowe na kufanya Rais aonekane katili na aliyeongea vitu visivyokuwepo kwa...
  10. M

    Kufungiwa kwa gazeti la UHURU jicho la tatu

    Ninanusa mpango wa kuanza kufungiafungia vyombo vya habari ambavyo vinakosoa serikali hii, lakini ili hilo lifanikiwe ni lazima serikali ya CCM ijifanye iko fair, ndiyo eti chama kilichukua hatua kwa gazeti lake. Hii issue imesukwa kiustadi ili ije iwe fimbo ya kuvichapia vyomb vingine...
  11. Khadija Mtalame

    CCM yasimamisha uchapishaji wa gazeti la Uhuru kwa siku 7 na kuwasimamisha Watendaji Wakuu watatu

    DANIEL CHONGOLO AMBAE NI KATIBU MKUU CCM TAIFA AMELIFUNGIA SIKU SABA GAZETI LA UHURU KWA KUCHAPISHA HABARI ISEMAYO KUWA RAIS SAMIA HASSANI SULUHU HANA MPANGO WA KUGOMBEA 2025. GAZETI LA UHURU LIMEFUNGUWA SIKU SABA Uhuru wa vyombo vya habari saizi uko huru. Pia soma Gazeti la Uhuru: Rais...
  12. Erythrocyte

    Gazeti la Uhuru lamalizika sokoni tangu saa 2 asubuhi, Wasomaji walisaka hata kwa dau kubwa

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii , leo gazeti la Uhuru limenunuliwa lote kabisa mitaani na kwisha kabisa huku wanunuzi wengi wakilisomea vyumbani mwao ili kutafuta utulivu na kuelewa zaidi maudhui ya gazeti hilo kwa leo. Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi sana gazeti hili lilikuwa...
  13. Q

    CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia hakusema kuwa hatogombea 2025

    Tunaposema ndani ya CCM kuna watu wanahujumiana au wanamhujumu Rais Samia hamtuelewi mambo yanaanza kuwa wazi sasa. Gazeti mama la chama haliwezi kuandika habari hii bila kuwa na mkono wa viongozi wakubwa ndani ya chama. Mama shituka mapema you will thank me later. PIA, SOMA: - Gazeti la...
  14. J

    Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

    Rais wa JMT Mh Samia Suluhu Hassan amesema hana wazo la kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2025. Chanzo: Gazeti la CCM, Uhuru PIA, SOMA: CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia hakusema kuwa hatogombea 2025 News Alert: - CCM yasimamisha uchapishaji wa gazeti la Uhuru kwa siku 7 na...
Back
Top Bottom