gdp

Gross domestic product (GDP) is a monetary measure of the market value of all the final goods and services produced in a specific time period.GDP (nominal) per capita does not, however, reflect differences in the cost of living and the inflation rates of the countries; therefore using a basis of GDP per capita at purchasing power parity (PPP) is arguably more useful when comparing living standards between nations, while nominal GDP is more useful comparing national economies on the international market.The OECD defines GDP as "an aggregate measure of production equal to the sum of the gross values added of all resident and institutional units engaged in production and services (plus any taxes, and minus any subsidies, on products not included in the value of their outputs)". An IMF publication states that, "GDP measures the monetary value of final goods and services—that are bought by the final user—produced in a country in a given period of time (say a quarter or a year)."Total GDP can also be broken down into the contribution of each industry or sector of the economy. The ratio of GDP to the total population of the region is the per capita GDP and the same is called Mean Standard of Living. GDP is considered the "world's most powerful statistical indicator of national development and progress".

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali ya CCM ikubali kulamba matapishi ya makosa yake; yaani unatumia 5% ya GDP kujenga bwawa la umeme halafu uagize umeme nje? Mnajisikiliza??

    Watu wameng'ang'ania kujadili uhalali wa kuagiza umeme nje ya nchi. Kuna shida ingine kubwa haimulikwi. Tatizo haswa la Tanzania ni kwamba, baada ya ule mradi wa bwawa la umeme kupitishwa na kuanza rasmi, kuna kitu kingine kilipaswa kufanywa sambamba na mradi wa bwawa la Nyerere, nacho ni Power...
  2. I

    Pato la taifa la Uganda (GDP) yaizidi ya Tanzania kwa mwaka 2025 kwa mujibu wa shirika la fedha duniani -IMF

    Uganda inaipita Tanzania katika Pato la Taifa kwa kila mtu, na hivyo kuimarisha nafasi yake kama mojawapo ya nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi za Afrika Mashariki, kulingana na uchambuzi wa hivi punde wa takwimu za Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kutoka Mtazamo wa Kiuchumi wa Dunia wa Oktoba...
  3. Utajiri wa Elon Musk umevuka GDP ya South Africa

    Unajua inahitaji research ya kweli independently Hao wazungu ni kawaida Yao kupigia chapuo uwongo wao na kuwalisha jamii. Hivyo Elon Anataka utajiri uongezeke na ili uongezeke zaidi ni kufanya nn Anaongea na hao watu wa statistics wanaisha uwongo Kisha matajiri na makampuni yananunua hiza...
  4. Uchumi wa Tanzania unakua watajwa kuingia kwenye 10 Bora Afrika kwa pato la GDP

    Nchi ya Tanzania imeendelea kutajwa kuwa imara na kukua kiuchumi, hiyo ni baada ya kuingia kwenye orodha ya nchi 10 bora za Afrika kwa Pato la Taifa (GDP) kwa Mwaka 2024, kwa mujibu wa IMF. Ikiwa na GDP ya Dola Bilioni 79.87, maendeleo ya uchumi wa Tanzania yanaonyesha athari chanya za sera...
  5. Pengo la ukuaji wa uchumi kati ya Marekani na Urusi ni kubwa sana

    USA🇺🇸 anazidi kupaa tu kila mwaka. Russia hayupo tena top 10. Putin anapotea Maxima Kwa hiyo gap, China apambane Sana, alafu ana population kubwa, 1.4 billion, mwenzie familia ndogo. Labda miaka 200 ijayo, anaweza kuwa status ya USA🇺🇸
  6. Truong My Lan mdada alieiba asilimia 3% ya Gdp ya vietnam

    Truong My Lan mdada alieiba asilimia 3% ya Gdp ya vietnam https://www.youtube.com/watch?v=__nTGfQi9N0
  7. Ni mbinu gani ambazo Ethiopia inatumia kukuza pato lake la Taifa (GDP -155), na kwa nini inaonekana kuwa na mafanikio? Je, ni kwa nini tusiwaige?

    Napenda kufahamu ethiopia wanategemea kitu gani kwenye kukuza uchumi wao pia ni sector gani kwao inayoongoza kuwaingizia pesa nyingi. Swali kwa wachumi ni mbinu gani ambazo Ethiopia inatumia kukuza pato lake la Taifa (GDP) hadi wanaenda speed sana yaani miaka kama 3 au minne nyuma tulikuwa...
  8. GDP ya Tanzania ni Dolla Billioni 86 tuendelee kuongeza bidii ya kufanya kazi

  9. IMF: Tanzania ni kati ya Nchi zenye madeni madogo kulinganisha na Pato la Taifa (GDP)

    Kwa mujibu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), #Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 zenye Madeni Madogo yakilinganishwa kwa Asilimia ya Pato la Taifa (GDP). Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo licha ya kuwa na matukio ya ukosefu wa Usalama katika baadhi ya maeneo ya Nchi yanayosababishwa na...
  10. Nimesikitika baada ya kuona Nigeria ina GDP karibu mara tano ya Tanzania

    Kumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
  11. Tanzania imepata ukuaji mdogo wa GDP ukilinganisha na Rwanda na Uganda kuanzia mwaka 2021

    Katika ripoti ya NBS inayoonesha masuala mbalimbali ya GDP kwa kipindi cha kuanzia April hadi Juni 2023, imeonesha ukuaji wa GDP wa Tanzania umeshuka ukilinganisha na Rwanda na Uganda. Tanzania imefananishwa na Rwanda na Uganda kwa kuwa ndio nchi pekee katika Jumuiya ya Africa Mashariki...
  12. H

    Nchi za umoja wa ECOWAS zinapata wapi jeuri ya kuwa na jeshi kuvamia nchi nyingine?

    Salama humu🙂 Anaejua uchumi was hizi nchi za ecowas atujuze jamani au gdp. Ninavyojua Mimi nchi za afrika zote ni maskini na wananchi wake wengi wanaishi maisha ya kifukara sana has vijijini. Ni nchi ombaomba na zinaishi kwa kutegemea misaada kutoka nchi zilizoendelea. Sasa kinachoniajabisha...
  13. Viongozi tuwe makini Gross Domestic Product (GDP) haiwezi kukua kwa betting games

    Dear Viongozi, Ukuaji wa GDP (Gross Domestic Product) haupaswi kutegemea michezo ya kamari au betting. GDP ni kipimo cha thamani ya bidhaa na huduma zote zinazozalishwa katika nchi ndani ya kipindi fulani cha wakati, na inaweza kuongezeka kupitia ukuaji wa shughuli za kiuchumi kama vile...
  14. African Economic Outlook in 2023 - GDP Growth

    Côte d’Ivoire was projected to be West Africa's fastest-growing economy this year at 5.7%, but Senegal is set to overtake it - expanding 4.8% this year before speeding up to 8% in 2023 and 10.5% in 2024. The forecast for Kenya, East Arica's largest economy, was kept the same at 5%. Here are the...
  15. Namba hazidanganyi, Mwinyi aliitoa Tanzania kutoka GDP ya dola bilioni 13.5 mwaka 1985 mpaka dola bilioni 5.7 mwaka 1995

    Hizo ndio takwimu zinavyoonesha. Nchi iliporomoka vibaya sana katika miaka hiyo kumi alipokuwa anaongoza rais mstaafu Mwinyi. Alishindwa kufanya makubaliano mazuri ya kiuzalendo na IMF na WB ili uchumi usiporomoke Mwaka 1985 Mwaka 1995
  16. K

    Kenyans Transacted 5 Times Tanzania's GDP on Safaricom's MPESA in 2021 Alone

    In the last financial year ending March 2022, Kenyans transacted close to Ksh30 TRILLION. ($250 billion) on Mpesa. That's more than the GDPs of all EAC countries combined. That's impressive, but scary. I don't think they will rest until the last paper note is taken out of circulation.
  17. J

    Tafiti zinaonesha Takwimu zenye ubora huchangia GDP kwa zaidi 1.5% Usiache kuhesabiwa 23|08|2022

    [ ] " Tafiti zinaonesha upatikanaji na matumizi ya takwimu zenye ubora huchangia mpaka asilimia 1.5% ya pato la Taifa( GDP), Hii inaonesha umuhimu wa kazi mliyopewa kwani takwimu za sensa Agosti23, 2022 ndio zitatumika kuandaa Dira ya Pili ya Taifa ya 2025-2050 baada ya kumalizika Dira ya...
  18. Kwanini pato la Taifa (GDP) la Tanzania linashika nafasi ya 9 Afrika wakati pato la kila Mtanzania linashika nafasi ya 31

    Pato la Taifa (GDP) ni thamani ya soko ya bidhaa na huduma zote za mwisho kutoka kwa taifa katika mwaka fulani. Nchi za Afrika zimepangwa kulingana na data kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Takwimu zilizowasilishwa hapa hazizingatii tofauti za gharama ya maisha katika nchi mbalimbali, na...
  19. M

    Je, ni nini tofauti kati ya GNI/GNP na GDP kwa Kiswahili? Ni yote "pato la taifa"?

    Pato la Taifa ni GNI/GNP au GDP? "Nominal" - itakuwa kinaganaga? Ufafanuzi kwa Kiingereza: GNP Gross National Product (kisawe = gross national income GNI): total domestic and foreign output claimed by residents of a country, consisting of gross domestic product (GDP), plus factor incomes...
  20. M

    Pato la Taifa ni GNP (Gross National Product) au GDP (Gross Domestic Product)?

    Hamjambo je tunao hapa wataalamu wa uchumi? Pato la Taifa ni GNP au GDP? Nominal - itakuwa kinaganaga? Ufafanuzi kwa Kiingereza: GNP Gross National Product (kisawe = gross national income GNI) : total domestic and foreign output claimed by residents of a country, consisting of gross domestic...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…