Wasalaam waungwana.
Kwa unyenyekevu mkubwa sana, ninapenda kuwasilisha ombi langu rasmi la kuhitaji msaada wa kupata Gear box ya
Volkswagen Polo 2008 ABA-9NBUD
Namba ya Gearbox ni: V W AC AW5 096 321 107 AL SI 9CU JK
Nipo Dar es Saalam.
Ninahitaji kwa ajili ya kuinunua.
Natanguliza shukrani
Huu uzi nilitamani ningepata Automatic Gearbox mbovu nikaufanyia video. Kwa maana ninaamini kwa njia hiyo wote mngenielewa vizuri. Hata hivyo nitajitahidi kuelezea kwa kadri nitakavyoweza.
Hebu iangalie hii picha vizuri. Hii ni cross section ya Gearbox ya automatic. 99% gearbox za automatic...
Nina gari ambayo inahitaji kufungwa gearbox mpya lakini simjui fundi mwenye ozoefu na muaminifu hapa Dar ; wengi wa mafundi ninaowafahamu sio professional kwani sio waaminifu Ingawa unawalipa hela nzuri tu.
Sasa kama kuna mtu anamfahamu fundi muaminifu na mzoefu anaeweza kuja kunifungia...
Habari,
Naomba kujua ni gear box oil gani ni kwa ajili ya pajero mini snoopy edition. Nataka nibadili ila deep stick haijaandikwa chochote. Msaada kwa ushauri au source ambayo naweza pata uhakika.
Ahsante
RICHARD SPIKES: MVUMBUZI WA INJINI ZA GARI ZA KISASA!!
Wengi wetu leo tunaendesha gari za kisasa zenye kubadili mwendokasi bila kuhitaji kubadili gea(automated gear transmission systems), na wengi naamini aghalabu wanapofikiri nani aliwezesha hilo' basi taswira ya mzungu fulani inawajia...
Naombeni kujua bei ya engine and gearbox mtumba za scania 124.
Kuna mtu anataka kuniuzia lakini naona anataja bei kubwa kuliko nilivyoelekezwa na fundi wangu.
Kiukweli unaweza usione faida yoyote lakini faida ipo tena kubwa tu.
Kuna faida kuu mbili
1. Gari ina accelerate faster
2. Gari inakuwa na matumizi mazuri ya mafuta.
Tuachane na gearbox za manual kwanza. Naomba tuzungumzie Automatic Transmissions tu.
Kila kila gear inayokuwa engaged huwa...
Nauza engine K3- VE ( Vvti) cc 1300 na gearbox yake.
Ina changamoto ya rings kutanuka. Hiyo tu na gearbox seal yake inavujisha ni either ifungwe vizuri au ibadilishwe. Mimi nlipata engine complete na gearbox yake nikashusha na kupandisha.
Kama unahitaji au kuna mtu anahitaji tuwasiliane Please.
Ili gari yenye gearbox ya automatic(automatic transmission) iweze kubadilisha gear kuna taarifa kuu mbili ni lazima zipokelewe na mfumo wa kompyuta(control unit) ndio gear zitaweza kubadilika. Taarifa hizo ni:-
1. Speed ambayo driving shaft/tairi zinazunguka.
2. Speed ambayo engine...
Engine ya Nissan:
Code: QG18
Gearbox yake:
Code:N16
Applications:
Nissan Almera, Nissan Sentra, Nissan Sunny, Nissan Bluebird/Sylphy
Mwenye clue na bei ya engine ndogo za Nissan, hio engine tajwa ni 1796cc au 1.8L! Tafadhali taarifa yako ni muhimu.
Tuzungumze kidogo kuhusu Oil za Automatic Gearbox.
Kuna makundi makubwa mawili ya Oil za Automatic Gearbox(ATF).
1. Standalone ATF
2. Universal ATF
Hebu tunagalie moja baada ya nyingine.
Universal ATF
Hizi ni zile ATF ambazo kopo lake linaandikwa msururu wa magari ambayo hiyo ATF inaweza...
Endapo baadhi ya matatizo yatatokea katika gari lako hasa matatizo ambayo yanagusa mifumo ya muhimu katika gari lako basi mfumo wa kompyuta wa gari lako utaizima baadhi ya mifumo ambayo si ya muhimu ili kulifanya gari lako lisiendelee kupata uharibifu mkubwa zaidi.
Dalili kuu kwa gari yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.