Kocha wa makipa wa klabu ya Gita Gold, Augustino Malindi amefungiwa michezo 16 (kumi na sita) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kumshika sehemu za siri wamuzi wa akiba wa mchezo tajwa hapo juu.
Baada ya kuonywa kwa kadi nyekundu kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi...
Match Day....
#nguvumoja#
Kikosi Cha Simba Kinachoanza.
Kikosi cha Geita Kinachoanza.
Updates...
Mpira Unaendelea
06' Simba wanafanya mashambulizi yakushtukiza kwenye lango la Geita Gold
08' Simba wanapata faulo karibu kabisa na lango la Geita.
Inapigwa inakuwa goli kick
15' Simba...
Uzembe wetu na kufungwa kipumbavu na Azam FC juzi umeshatugharimu na leo ndiyo tunaenda rasmi kuachwa kwa alama (points) tatu (3) na Yanga SC.
Na hata kesho kuna uwezekano Mtibwa Sugar FC naye akatudindia na gap likaendelea kuwa la alama (points) tano (5). Na ndiyo maana GENTAMYCINE kwa...
Inakuwaje mwamuzi wa ligi Kuu anawaonyesha Kadi za njano Wachezaji 2 àmbao hawakufanya makosa? Yaani kosa anafanya mwingine Kadi anaonyeshwa mwingine?
Kelvin Yondan na Juma Mahadhi wameonyeshwa Kadi za njano wakati hawakuhusika kwenye matukio.
Waamuzi wa TFF mnaboa mpaka mnakera.
Ligi yetu ya NBC sasa inaonesha kuwa na ushindani mkubwa na malengo ya kufika mbali. Hii inachagizwa sana na jeuri na nguvu ya pesa kutoka kwa matajiri wetu wa Bongo.
Battle ya fedha sasa inaonekana kwenye soka, hii sio tu inaleta raha na ushabiki kindaki ndaki katika soka, pia imezidi kufungua...
Ni mechi kubwa kwa wapenzi wa soka wa Kanda ya Ziwa. Geita Gold itakuwa inawakaribisha Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC katika Dimba la CCM Kirumba pale jijini Mwanza.
Geita imehamishia mchezo huu katika dimba hilo badala ya Nyankumbu ili kuongeza kipato. Kitendo hiko kimekemewa sana na...
Hii Michezo tumeshaicheza mno mpaka pale tulipoamua Kustaafu na Kutubu Dhambi kwa Mwenyezi Mungu hivyo Timu zingine zikifanya Michezo hii akina GENTAMYCINE huwa tunaishtukia na Kuigundua haraka sana hivyo tukisema Watu fulani Wachunguzwe upesi huwa tunakuwa tumeshatonywa na Vyanzo vyetu aminika...
Ukiujua Mpira wa Bongo (Tanzania) na Janja Janja yake ni raha sana.
Pongezi sana Kocha wa Mtibwa Sugar FC Salum Mayanga kwa Kuwaanzisha Wachezaji wabovu ila baada ya Yanga SC kufunga Goli la Pili ndipo ukawaingiza Wachezaji wazuri akina Kibaya.
Hongera sana Kipa Shabaan Kado (mwana Yanga SC...
1. Timu inacheza kwa Kasi kipindi cha Kwanza ila kipindi cha Pili inapungua. Na tatizo hili linaonekana pale tu Simba SC ikicheza Dar es Salaam ila kwa Mikoani Timu huwa inakuwa 'active' katika dakika zote 90.
2. Ugonjwa sugu wa Mabeki kutoicheza vyema Mipira ya Juu bado haujapatiwa Tiba ya...
Halafu hiyo Gari aina ya Harrier Nyeusi kila mara tu inakuja hapo Hotelini Kwenu inajulikana ni ya GSM inafuata nini ikiwa na hao Wazee Watatu na huyo Mmoja ana Mguu mbovu anaishi Mbagala Charambe?
Kocha Minziro endelea tu Kudanganywa na hao Watu wako wa Yanga SC ila nikuonye mapema Simba SC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.