Wakuu,
Ila siasa bwana, mnahenyesha watu wee kwa Milioni 1? Ila sisi wananchi tumekuwa cheap sana, na hatujui thamani yetu kabisa. Ni mwendo wa kutumiwa tu kila inapokaribia uchaguzi, na sisi bila hiyana kama nyumbu tunatimiza azma zao!
=====
Mashindano ya Dk. Samia and Gekul yamehitimishwa...