Kampuni ya uchimbaji madini ya Gem & Rocky Venture inayochimba madini ya Tanzanite kitalu B katika Mji wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara imetakiwa kuchimba madini hayo kwa kufuata leseni waliyopewa na sio vinginevyo.
Hayo yalisemwa na Afisa Mfawidhi wa Madini Kanda ya...