gen z kenya

Signals intelligence (SIGINT) is the act and field of intelligence-gathering by interception of signals, whether communications between people (communications intelligence—abbreviated to COMINT) or from electronic signals not directly used in communication (electronic intelligence—abbreviated to ELINT). As classified and sensitive information is usually encrypted, signals intelligence may necessarily involve cryptanalysis (to decipher the messages). Traffic analysis—the study of who is signaling to whom and in what quantity—is also used to integrate information, and it may complement cryptanalysis.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    Gen Z Kenya na mkutano na rais

    Nimeona watu wakijenga hoja kwamba “huyu kijana ameongea vizuri BILA MATUSI, KEJELI, WALA LUGHA YA KUUDHI” na kwa namna fulani wanawanyooshea kidole wale wanaotumia “LUGHA KALI” kuwasilisha malalamiko yao Tanzania. Kwanza niseme ni privilege ya hali ya juu kuwa na nafasi ya kusikia UKALI WA...
  2. I

    Namna ya kutuliza Gen Z wa Tanzania

    Gen Z ni vijana waliozaliwa MIAKA ya 2000 mpaka 24. Kizazi hiki kina maisha na purukushani nyingi za kisiasa , kiuchumi, na kijamiii . Kwa nchi kama Tanzania Ili Hawa vijana watulie ni lazima uwafanyie mambo yafutayo. 1. WALETEE VIDEO ZA NGONO. Hawa madogo hawajambo Kwa mambo ya ngono...
  3. W

    Spirit, confidence, elimu, uzalendo, unity - ona kijana mdogo wa Gen Z aliyekamatwa alivyotema madini alivyopandishwa kizimbani

    Huyo jamaa pembeni sijui ni mwanasheria au la, anamzuia zuia jamaa kuyamwaga, jamaa hamsikilizi kabisa anamwagika tu. This Spirit! Imebidi maaskari polisi wafanye kazi yao kumnyamazisha kwa kumtoa kizimbani ili kutetea watawala wanaosemwa Tuje Huku kwetu sasaaa, kulia yupo Magoma, Kushoto ni...
  4. BLACK MOVEMENT

    Kule Kenya Gen Z wanadili na Wakusanya Kodi wa Kenya, Tanzania tunadili na Mbowe ambaye hakusanyi kodi

    Gen z wanadili na Ruto ndio anaye kusanya kodi na kuzitumia vibaya, Raila wala Kalonzo hawakusanyi Kodi, Raiala yuko enzi za Moi na hakusanyi kodi za Kenya waka hapangi bajeti ya Kenya. Tanzania SAMIA ndio anaye kusanya kodi na tozo na kuzitumia kwa anasa huyu wajinga hawamuini. Wanaoambana...
  5. S

    Vijana wa miaka 20 Kenya wanajadili mustakabali wa nchi yao kwa weledi mkubwa sana. Vijana wa Tanzania wanakwama wapi?

    Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana. Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao. Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya...
  6. toriyama

    Vijana walioandamana (Gen Z) wakutwa wametupwa kwenye viroba wakiwa wameuawa kwa kuchinjwa kama nyama

    Vijana walioandamana (Gen Z) wakutwa wametupwa kwenye viroba wakiwa wameuawa kwa kuchinjwa kama nyama Hali ya usalama kwa vijana walionekana Kenya inazidi kuhatarisha huku kukiwa na ongezeko la mauaji kwa vijana walioandamana kali ikiwa ni sehemu ya wanaodhani ni kulipa kisasi cha Rais wao...
  7. J

    William Ruto avunja Baraza la Mawaziri Kenya

    Breaking news Ofisi ya Deputy President na Prime minister haziguswi na maamuzi haya Citizen TV ====== Rais wa Taifa la Kenya, William Ruto amewafuta kazi mawaziri wote wa Baraza lake, kufuatia shinikizo kutoka kwa vijana wa kizazi cha GenZ waliotaka mabadiliko. Katika kutangaza mabadiliko...
  8. Tlaatlaah

    Kadiri siku zinavyokwenda unawaona gen z Kenya wanafanikiwa mahitaji yao au wanapoteza malengo na uelekeo wa madai yao kwa serikali ya Kenya?

    Kudinda kwao kua na mazungumzo na viongozi wa serikali ikiwa ni pamoja na Rais mwenyewe William Samoe Ruto alietoa wito wa majadiliano tangu mapema sana mwa mwanzo wa maandamano yao.. Lakini pia dhana ya kwamba wao hawana viongozi, huku pia wakiwakataa wanaojiita viongozi wao wanayojaribu...
  9. J

    Gen Z wasema July 7 Ndio itakuwa Siku ya Uhuru wa Kenya na kuwakumbuka mashujaa waliouliwa kwenye Maandamano

    Gen Z wanasema Bara la Africa halijawahi kuwa Huru bali ni Unyonyaji ulihamishwa kutoka kwa Mzungu na kuwaachia vibaraka wao Weusi Sasa Gen Z ndio wanapigania Uhuru wa kweli na Leo ndio wanafanya Tamasha la kihistoria la kuwakumbuka mashujaa waliouliwa kwenye Maandamano na kwamba hii itakuwa ni...
  10. Suley2019

    Majeruhi waongezeka katika maandamano Nairobi huku watu 35 wakilazwa Hospitali ya Kenyatta

    Idadi ya waliojeruhiwa katika maandamano ya kupinga serikali yanaendelea kuongezeka, huku watu wengine 35 wakilazwa Hospitali ya Taifa ya Kenyatta na majeraha ya risasi na majeraha mengine tofauti siku ya Jumanne. Uongozi wa hospitali unasema idadi inatarajiwa kuongezeka usiku kufuatia...
  11. Tlaatlaah

    Gen Z Kenya, mtaka yote kwa pupa hukosa yote; mihemko siyo dili kwenye mapambano

    Siyo rahisi kuyafikia malengo na mahitaji yenu ya msingi mengi na yote kwa pamoja. Inahitaji muda na nafasi. Inafahamika na Imebainika Africa na duniani nzima, mnatamani mahitaji yenu yote ya msingi yatimizwe. Serikali imekubali, na imewaalika mezani kuzungumza nanyi mnataka nini tena mtaani...
  12. R

    Watanzania wenye akili wanauliza: Watawalawa Tanzania, wamejifunza lolote kutoka maandamano ya Gen Z Kenya. Jibu ni hili hapa chini

    1. Hawawezi kujifunza lolote. Kwa nini wakose la kujifunza? JIBU: Watawala, CCM for that matter, walihakikishiwa na Kenyatta enzi hizoza uhai wake kuwa .1. WATANZANIA NI MAITI, HAWAWEZI FUKUKUKA, you need not worry about them 2. WAGANDA WAJINGA, WAKIELIMISHWA WATAJITAMBUA NA KUTETEA HAKI...
  13. J

    Fatma Karume atamani Watanzania Wangekuwa na Ufahamu kama Gen Z wa Kenya

    Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume anesema anatamani Watanzania Wote wangekuwa na ufahamu kama Watoto Wadogo wa Gen Z Karume amefurahishwa na Kauli ya Gen Z Kwa Ruto kwamba " Sisi ndio tumekuweka hapo na Sisi Tunaweza kukuondoa" Karume ameongea ukurasani X Baadae Mlale Unono 😃
  14. U

    Unaionaje Gen Z ya Tanzania?

    Maana ya Gen Z. Kwa mujibu vyanzo vya mtandaoni, Gen Z ni vijana waliozaliwa kuanzia mwishoni mwa miaka 1990. Pia wanafahamika kama kizazi cha kidijitali kwa sababu walizaliwa wakati mtandao ndio umeanza kuchipukia. Hiki ndicho kizazi kinachosadikika kukuza mtandao ndio maana kimepewa jina Gen...
  15. J

    Rais Ruto: Nitafanya kazi na Gen Z. Tayari nimeongeza Fedha za Mikopo ya Elimu ya Juu na Ajira Mpya, nitawakaribisha Ikulu tuyazungumze

    Rais Dkt. Ruto amesema amefuatilia malalamiko ya Vijana wadogo wa Gen Z na kuyaelewa Ruto amesema amefurahishwa sana na uwezo wa Watoto hao wa kung'amua mambo hivyo yuko tayari kufanya nao kazi Kwa kuanzia tumeongezeza Fedha za kuendesha Skuli Pamoja na Mikopo ya Elimu ya Juu Ili wanafunzi...
  16. Suley2019

    SI KWELI Waandamanaji wa Kenya walipora na kukimbia na farasi wa polisi

    Salaam Wakuu, Kumekuwa na video inasambaa siku hache zilizopita zikidai kuwa Waandamanaji Kenya wameiba farasi wa polisi na kukimbia nao. Video hiyo inamuonesha mwananchi anayedaiwa amepora farasi huyo akimuongoza farasi huyo kwa kasi na ustadi mkubwa. Nimeona sehemu inadaiwa yule si...
  17. B

    Gen Z gather here: Tuko wapi mbona hatuonekani? Kenya wametuonesha njia tunaweza washughulikia kigeneration yetu!

    Gen Z tupo? Tumekuwa tukisemwa sana hadi na mabroo kuwa tumelala, tupo nyuma, ninwaoga kama kunguru kukimbiza mabawa, lakini je, hilo ni kweli? Najua tuko wengi humu kwanini sasa kwanini hatushiriki kudai haki zetu? Kizazi chetu ndio kinaongoza kutumia teknolojia vizuri hata millenials...
Back
Top Bottom