Signals intelligence (SIGINT) is the act and field of intelligence-gathering by interception of signals, whether communications between people (communications intelligence—abbreviated to COMINT) or from electronic signals not directly used in communication (electronic intelligence—abbreviated to ELINT). As classified and sensitive information is usually encrypted, signals intelligence may necessarily involve cryptanalysis (to decipher the messages). Traffic analysis—the study of who is signaling to whom and in what quantity—is also used to integrate information, and it may complement cryptanalysis.
Gen Z ni vijana waliozaliwa MIAKA ya 2000 mpaka 24. Kizazi hiki kina maisha na purukushani nyingi za kisiasa , kiuchumi, na kijamiii . Kwa nchi kama Tanzania Ili Hawa vijana watulie ni lazima uwafanyie mambo yafutayo.
1. WALETEE VIDEO ZA NGONO.
Hawa madogo hawajambo Kwa mambo ya ngono...
Huo ndio ukweli Elimu ya Tanzania hutolewa kimkakati sana hivyo siyo rahisi kupata Vijana wa kubeba maono ya Gen Z kama ilivyo Kenya na sasa Nigeria
Gen Z ya Kenya imesheheni Wasomi wa Sheria na Teknolojia, sasa unaweza kupima tu hata Viwango vya Mawakili wa Kenya na Tanzania kwa sababu tofauti...
Kutoka katika Vyanzo mbalimbali vya mitandao ya kijamii pamoja na baadhi ya mitaa, joto na vuguvugu la maandamano ya vijana wa kitanzania linaendela, chanzo ikisemekana ni kuchoka na hali ya ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira, kulinda rasilimali za taifa ambazo siku za karibuni zimeonekana kuwa...
Wadau Asalam aleykum.
Wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
Nawashauri viongozi wangu mlioko kwenye vyombo vya kutunga sera, mfanye kuwaajiri vijana walioko mtaani wenye ujuzi na wasio na ujuzi pia watafutiwe kazi za kufanya.
Hii itawafanya kuwa bize na hivyo kuwasahaulisha na ugumu wa...
Gen z wanadili na Ruto ndio anaye kusanya kodi na kuzitumia vibaya, Raila wala Kalonzo hawakusanyi Kodi, Raiala yuko enzi za Moi na hakusanyi kodi za Kenya waka hapangi bajeti ya Kenya.
Tanzania SAMIA ndio anaye kusanya kodi na tozo na kuzitumia kwa anasa huyu wajinga hawamuini. Wanaoambana...
Maandamano yanayoendelea kumshinikiza Rais William Ruto kuondoka ofisini yana tija kubwa kwa Kenya na fundisho kwa Serikali ya CCM kuelekea 2025.
Wanachokiandamia ni kukithiri kwa ufisadi na maisha ya anasa ya viongozi wao hasa wanasiasa.
Vijana hao wakiwa katika lindi la umasikini lakini...
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.
Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.
Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya...
Kamanada anatakiwa kuwa jasiri
---
Freeman mbowe akiomba hasira za vijana wa kenya iwafikie Watanzania
Akiwa kwenye mkutano huo wa kisaisa wa CHADEMA Mbowe amesema:
“angalia wakenya, watoto wana hasira na viongozi, kuanzia rais , makamu wa rais, mawaziri, wabunge. Kenya leo wabunge wanajificha...
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume anesema anatamani Watanzania Wote wangekuwa na ufahamu kama Watoto Wadogo wa Gen Z
Karume amefurahishwa na Kauli ya Gen Z Kwa Ruto kwamba " Sisi ndio tumekuweka hapo na Sisi Tunaweza kukuondoa"
Karume ameongea ukurasani X
Baadae Mlale Unono 😃
Maana ya Gen Z.
Kwa mujibu vyanzo vya mtandaoni, Gen Z ni vijana waliozaliwa kuanzia mwishoni mwa miaka 1990. Pia wanafahamika kama kizazi cha kidijitali kwa sababu walizaliwa wakati mtandao ndio umeanza kuchipukia.
Hiki ndicho kizazi kinachosadikika kukuza mtandao ndio maana kimepewa jina Gen...
Gen Z tupo?
Tumekuwa tukisemwa sana hadi na mabroo kuwa tumelala, tupo nyuma, ninwaoga kama kunguru kukimbiza mabawa, lakini je, hilo ni kweli?
Najua tuko wengi humu kwanini sasa kwanini hatushiriki kudai haki zetu?
Kizazi chetu ndio kinaongoza kutumia teknolojia vizuri hata millenials...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.