Hivi karibuni, kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu tabia na mitazamo ya kizazi cha GenZ, ambao ni vijana waliozaliwa kati ya miaka ya mwishoni mwa 1990 na mapema 2010.
GenZ wanajulikana kwa kutumia teknolojia na mitandao ya kijamii kwa kiwango kikubwa, jambo ambalo limechangia kwa kiasi kikubwa...