Wakati swala la mchezaji Lameck Lawi likiwa kwenye kamati ya Sheria na hadhi ya wachezaji tayari taarifa zinasema ameshafanyiwa vipimo na timu ya Genk ya Ubelgiji.
Kama wamemfanyia vipimo ni wazi kuwa mchezaji huyo ana nakala zote za Chama cha Soka Tanzania TFF.
Kitendo cha kamati ya TFF...