Jamii ya kabila ya banyamulenge waishio Europe, USA na kwingineko wanaandamana na kulalamika juu ya Maimai na jeshi la congo FARDC inafanya mauaji ya kimya kimya juu ya banyamelenge (Congolese Tutsi).
Mpaka Sasa nyumba zaidi ya 40,000 zimechomwa moto, ng'ombe zaidi ya 20,000 zimeibiwa na...