genuine

  1. Pridah

    Wapi napata genuine CLINIQUE PRODUCTS kwa Dar?

    Habari. Naomba msaada kwa anayejua kwa Dar ni wapi naweza kupata CLINIQUE 3 STEPS SET isio fake. Kuna niliyonunua somewhere,sitataja duka ila nahisi ni fake sbb nimepaka siku moja tu asubuhi nakuta nimepatwa na huto tupele usoni😭😭 😭😭😭😭😭 Imebidi niitupe ila sijui kitu kingine cha kupaka usoni...
  2. Abubakari Mussa

    Nauza power bank

    itakayo weza kukupa uhakika wa matumizi ya simu yako Vaa mkanda twende pamoja 🔋💡 Chaji Bila Wasiwasi na Green Lion 22.5W Power Bank 💡🔋 Karibu kwenye thread yetu kuhusu power bank ya Green Lion 22.5W! Mimi ni Abubakari muuzaji wa power bank za Green Lion, na nataka kushiriki nawe kuhusu...
Back
Top Bottom