Geophrey Mizengo Pinda (born 26 January, 1963), is a Tanzanian politician and deputy minister for Lands, Housing and Human Settlement Development and presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's member of parliament for Kavuu constituency in Katavi Region since November 2020. He was the former deputy minister for Constitutional and Legal Affairs.
Mbunge wa Jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amezindua kambi ya wiki mbili ya matibabu bure ya macho na matatizo ya mkojo kwa wananchi wa Jimbo hilo lililopo Mkoani Katavi.
Hafla ya Uzinduzi huo imefanyika tarehe 11 Machi 2025 katika hospitali...
DODOMA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewahimiza wasajili wa Hati na Nyaraka Wasaidizi katika ofisi za Ardhi za Mikoa kuhakikisha wanatoa hati milki za ardhi kwa wakati kwa wananchi walioomba kupatiwa hati hizo.
Mhe Pinda ametoa kauli hiyo leo tarehe...
MLELE
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda ameshiriki zoezi la kujiandikisha kwenye orodha ya mpiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu.
Mhe. Pinda amejiandikisha Jumamosi katika mtaa wa...
KONDOA
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi inatarajia kutekeleza mradi wa urasimishaji makazi holela kwenye mitaa 13 ya Mji wa Kondoa mkoa wa Dodoma.
Hayo yamebainishwa tarehe 21 Agosti 2024 na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda wakati wa ziara ya...
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amekutana na kufanya kikao na watumishi wa sekta ya ardhi mkoani Kigoma leo tarehe 6 Julai 2024.
Katika kikao hicho Mhe. Pinda alipata fursa ya kusikiliza changamoto za watumishi katika mkoa huo kwa lengo la kuzitafutia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.