Cristiano Ronaldo amefunga ndoa rasmi na mpenzi wake wa muda mrefu, mwanamitindo Georgina Rodríguez, katika iliyofanyika nchini Ureno.
Mchezaji huyo nyota wa soka wa Ureno, mwenye umri wa miaka 41, alifunga ndoa na Georgina katika hafla ndogo na ya kifamilia kupitia taratibu za kiraia Agosti...