Kuna Wakati mambo ya Nchi hii yanashangaza sana !
Pamoja na kwamba sifahamu vigezo vya Mtu kuteuliwa kuwa msemaji wa serikali , Lakini natambua kwamba kuwa Msemaji wa serikali ni dhamana kubwa mno , na kwa kadiri ninavyomfahamu Msigwa hakustahili kuwa Msemaji wa Serikali yetu ya Tanzania ...