The Natural Gas Revenue Fund (NGRF) is the proposed sovereign wealth fund of Tanzania expected to be launched in October 2014 or February 2015 after the enactment of a bill by the National Assembly. It will manage the revenue accrued from the sale of its natural gas. As of April 2014, Tanzania has a recoverable gas reserve of 43.1 tcf. The fund will be managed by the Bank of Tanzania. However, according to PFC Energy, 25 to 30 trillion cubic feet of recoverable natural gas resources have been discovered in Tanzania since 2010.
Taasisi ya uhamasishaji uwazi na uwajibijaki katika rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia (TEITI) imetoa mafunzo maalum ya kuelimisha wananchi wasioona kuhusu ripoti na matumizi ya takwimu zinazotolewa na taasisi hiyo ili kuweza kuhoji na kufahamu mchango wa rasilimali hizo na fursa...
Wataalamu wa masuala ya gesi na mafuta, ninaomba kupata uelewa zaidi wa hii taarifa niliyoiona Worldometers inayosema kuwa imebaki miaka miwili ili gesi ambayo imegundulika nchini Tanzania kuisha.
Je hii ni taarifa tunayotakiwa kuwa na wasi wasi nayo ? au ni mambo ya kawaida tu na kuna gesi...
Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020- 2025, Ibara ya 63(i)(c) imeelekeza Kukamilisha ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia wa Kinyerezi I – Extension (MW 185).
Mradi huu sasa umekamilika ambapo mitambo yote minne (4) imewashwa na inachangia Megawati 185 katika Gridi ya Taifa...
KADA Maarufu wa CCM na mfanyabiashara aliyeahidiwa Ubunge Jimbo la Morogoro Mjini na Shujaa Magufuli ndugu yetu Rostam Aziz amesema Uwekezaji umeendelea kuimarika kutoka Viwango vidogo hadi vikubwa katika vipindi vyote vya Utawala.
Aziz amesema amekuwa kwenye biashara kwa miaka 32 Sasa na...
Nimetunukiwa Cheti cha Kuhakiki Tafiti kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia!
Nina furaha kubwa kushiriki kwamba nimepokea cheti cha kuthamini mchango wangu kama mtoa tathmini wa tafiti (peer reviewer) kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia. Hii ni hatua kubwa na...
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanzisha mpango wa kuunganisha kaya 951 na gesi asilia mwaka huu wa fedha. Mradi huo utaunganisha kaya 451 katika mkoa wa Lindi na kaya nyingine 500 katika wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani ili kupata nishati hii muhimu na safi.
Afisa Maendeleo...
MUAROBAINI WA MAENDELEO YETU NI NISHATI.
Tanzania tume pata uhuru wetu mwaka 1961 na katika kipindi hicho ni mikoa miwili tu ilio kuwa na umeme wa uhakika mbayo ni Tanga na Dar Es Salaam. Tanga kwa sababu kulikuwa na viwanda vya mkonge na Dar es Salaam kwa sababu kulikuwa na uhitaji katika...
MAZINGIRA
Tanzania yetu, Fahari yetu, mazingira yetu daima tutayatunza, Tanzania ndo nchi pekee yenye mazingira ya kuvutia na yenye nuru na mwangaza, hivyo basi ni jukumu la kila mwananchi kuweza kuyalinda na kuyatunza mazingira hayo, mito ni moja ya rasilimali yenye umuhimu zaidi tunapotunza...
Tanzania ni nchi ya 14 duniani kwa uzalishaji wa gesi asilia ikizalisha 0.05% ya gesi yote inayozalishwa duniani. Uzalishaji wa gesi nchini umeongezeka kwa asilimia 9 mwaka 2023 kulinganisha na mwaka 2022. Mataifa yanayoongoza kwa uzalishaji wa gesi asilia ni Marekani, Urusi na Iran.
Kampuni...
Bajeti ya Mwigulu Nchemba inayosomwa leo imependekeza tozo ya Tshs 382 kwa kila kilo ya gesi asilia inayotumika kwenye magari ikiwa na lengo la kuchangia mfuko wa kutengeneza barabara na kuleta usawa kwa magari yanayotumia mafuta.
Swali langu kwa Mwigulu, kwanini ahangaike na kuleta usawa na...
Sekta ya nishati na madini ni moja kati ya sekta muhimu na inayogusa maisha ya mwananchi mmoja mmoja hata mwananchi wa kipato cha chini.
Moja ya bidhaa za sekta hii ni mafuta ya petrol na dizel ambayo huagizwa kutoka nje ya nchi na kupelekea nchi kutumia fedha nyingi za kigeni katika uagizaji...
Kituo hiki cha kujazia gesi cha kampuni binafsi kilizinduliwa mwaka jana mwishoni na Naibu waziri mkuu, Dotto Biteko. Wakati wanaanza kilikuwa hakina magari mengi yanayojaza gesi na kuna kipindi huoni kabisa gari pamoja na pampu nyingi walizizonazo, pia kituo kina karakana ya kuweka mfumo wa...
KURASA 1: UTANGULIZI
Maono ya Serikali hivi karibuni yameonyesha ni jinsi gani imepania kufanya mapinduzi ya sekta ya nishati hapa nchini, rejea maagizo ya viongozi wetu wa juu hasa Mheshimiwa Rais
Chanzo: Mwananchi
Pia, Rais Samia hakuishia hapo alitoa agizo kwa mheshimiwa Waziri Dkt. Seleman...
Huu ni muendelezo wa Makala zangu za Kushauriana / Kuulizana na nyie Wadau.., Ni Nishati gani Safi ya Kupikia na ya Gharama nafuu kwa Mazingira ya Tanzania; Binafsi nikaja na jibu la Umeme na kuelezea kama hizo nyuzi mbili zinavyojieleza...
Na Mwandishi Wetu
NI ukweli usiopingika kwamba majadiliano ya mikataba, hasa ya mafuta, gesi, madini na maliasilia nyingine za nchi huchukua muda mrefu kukamilika.
Hili ni jambo la kawaida hasa kwa Serikali ambayo ni makini na inayobeba jukumu la kulinda utajiri na maliasilia za nchi...
“Kwa wastani umeme unaozalishwa kwa kutumia gesi asilia ni takribani asilimia 65 mpaka 70 ya umeme wote unaozalishwa nchini. Wataalam wanatuambia kwamba kama tusingekuwa na gesi asilia, tatizo la umeme nchini lingekuwa kubwa zaidi. Kwahiyo, tushukuru sana Mungu kutuletea rasilimali hii ya gesi...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameshuhudia uwekaji saini Mkataba wa Mauziano ya Gesi Asilia itakayozalishwa katika eneo la Ntorya Kitalu cha Ruvuma na uwekaji saini hati ya Makubaliano kwa ajili ya kuanzisha mahusiano ya kujenga miundombinu ya kusambaza Gesi Asilia kwa...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo amezindua kituo cha kwanza cha kisasa cha kujazia gesi asilia kwenye magari na karakana ya kuweka mfumo wa gesi asilia ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa mipango ya Serikali kuchochea matumizi ya gesi asilia kama nishati safi na...
EWURA kupitia Mkurugenzi wao naona wanamvimbia Mh BITEKO, Hali ya utoaji huduma ya gesi asilia kwa magari ni mbaya sana! watu wanaenda kujaza magari vituo viwili tu Tanzania nzima kweli? tena wanakaa hadi masaa matatu kupata huduma
Kuna kampuni ya Dalbit tunaona imekamilisha kujenga kituo cha...
Kiwanda cha kubadilisha gesi asilia kuwa mafuta (Gas-to-Liquid - GTL) ni njia nzuri ya kukabiliana na kupanda kwa bei ya mafuta nchini Tanzania.
Gesi asilia inaendelea kuwa rasilimali muhimu na yenye thamani kubwa katika soko la nishati duniani. Kuzalisha mafuta kutoka gesi asilia itakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.