1. Kubandika kitu na kukisahau halafu ukaenda dukani. Masufuria yetu yenyewe kwa sasa ni mepesi sana dakika kumi ukijisahau ukatoka unaweza kurudi kukuta chakula kimeungua chote. Sasa baada ya Chakula huwa ni zamu ya sufuria kuyeyuka na kisha kwenda pale kwenye pipe inapoungwa na kisha...