gesi tumboni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shida ya gesi tumboni

    Wakuu habari za muda. Naomba kuelewa hili, hivi gesi inaweza kuathiri uwezo wa kutembea. Mana nina gesi inanisumbua ni muda sasa nimeenda kupima h-pylory sina. Nimepima ultrasound bali sina shida. Ila gesi inasumbua sana hadi uwezo wa kutembea nashindwa. Nipeni maelezo na dawa tiba.
  2. Tatizo la tumbo kujaa gesi

    Habari wana JamiiForums. Nimekuja mbele yenu kuzungumza na wale wenye tatizo la tumbo kuunguruma, Mimi ni moja wenu na tatizo hili limenisumbua kwa muda sasa lakini hivi karibuni nimepata nafuu kwa kiasi kikubwa. Mwanzo kabisa sikumbuki tatizo la tumbo kuunguruma lilinianzaje, sijui chanzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…