gesi ya kupikia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Bei ya gesi ya kupikia kupungua bei ili kuchochea Matumizi ya Nishati Safi

    Serikali imejikita kuhakikisha inapunguza bei ya mitungi ya gesi ya kupikia na kutoa ruzuku ya asilimia 20 ya mitungi hiyo Ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa mwaka 2024-2034. Naibu Waziri wa Nishati Judith Salvio Kapinga amesema hayo...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Gwau Awagusa Wanawake wa Singida DC & Ikungi kwa Majiko ya Nishati ya Gesi ya Kupikia

    MBUNGE MARTHA GWAU AWAGUSA WANAWAKE WA SINGIDA DC & IKUNGI KWA MAJIKO YA NISHATI SAFI YA GESI YA KUPIKIA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia Gwau amekabidhi majiko ya Gesi 60 kwa wanawake wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida na Wilaya ya Ikungi Disemba 21,2024 Ikiwa ni...
  3. I am Groot

    Fanya haya kila ununuapo mtungi wa gesi ya kupikia majumbani

    - Weka umakini katika rangi ya moto wa gesi uliopo kwenye jiko lako. * Kama moto una rangi ya bluu inamaanisha kila kitu kipo vizuri na joto linalozalishwa na huo moto ni nyuzi joto kuanzia 1,500°C hadi 1,700°C * Kama moto wako ni mwekundu au rangi ya chungwa, hii (inawezekana*) umeuziwa...
  4. E

    Kwa usalama zaidi. Tunafunga pipelines za Gesi ya kupikia

    Mifumo salama kwenye nyumba yako au ofisini kwako. Gesi ya kupikia inahitaji kuwekewa mfumo salama kwa kufanya pipeline ambazo zitakwenda kwenye jiko au mahala inapohitajika gesi kutumika Tu. Gas pipelines installation ni muhimu kwenye nyumba za kuishi, hotelini, maabara za mashuleni, taasisi...
  5. S

    Ushawahi kusikia kampuni inayouza gesi ya kupikia mpaka Tsh. 1000?

    Katika dunia ya leo suala la habari (Information) ni muhimu sana hasa kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Ukosefu wa habari sahihi juu ya inshu fulani iwe ya kijamii, kisiasa au kiuchumi itakufanya ushindwe kufanya maamuzi sahihi ama itakuwa na athari kwako kwa namna moja ama nyingine. Moja ya...
  6. Meneja Wa Makampuni

    Ili wananchi wa kipato cha chini watumie gesi ya kupikia

    Ili wananchi wa kipato cha chini watumie gesi ya kupikia tufanye yafutayo haraka. Tutengeneze mpango kabambe wa kuwawezesha wananchi wa kipato cha chini kutumia gesi ya kupikia badala ya kuni na mkaa. Tutoe ruzuku kwa ajili ya kupunguza gharama ya majiko ya gesi pamoja na mitungi ya gesi...
  7. Meneja Wa Makampuni

    Eng. Mos J. Mwansumbule ameandika na kuchapisha kitabu kwaajili ya Wafanyabiashara wa gesi ya kupikia (LPG) hasa hasa Wasambazaji (Dealers)

    Ndugu yetu Eng.Amos J. Mwansumbule ameandika na kuchapisha kitabu kwaajili ya Wafanyabiashara wa gesi ya kupikia (LPG) hasa hasa Wasambazaji (Dealers) na wanaotaka kufanya biashara hii. Kitabu hiki kitasaidia kuboresha namna ya kufanya biashara ya LPG ili iwe ya faida, endelevu na salama...
  8. Meneja Wa Makampuni

    Serikali kuja na kifurushi cha gesi ya kupikia cha Sh 500 au 1,000 ili Mtanzania anunue gesi badala ya mkaa na kuni

    Katika kuhamasisha matumizi ya gesi ya kupikia, serikali yetu itakuja na utaratibu wa kumruhusu mteja kuinunua gesi kwa bei ndogo kulingana na mahitaji yake. Kwa sasa wengi wanashindwa kumudu kutokana na gharama kubwa zilizopo, hivyo mchakato wa kuzipunguza unaelekea mwishoni ili kulifanyia...
  9. Meneja Wa Makampuni

    Furahia upishi wako na gesi janja (M-GAS) yenye mita janja wala huhitaji kununua mtungi wa gesi tena

    M-Gas ni kampuni inayoungwa mkono kimataifa. Tuna bohari zetu, mitungi ya gesi na magari ili kukuhakikishia kuwa unapata gesi (LPG)bora ya kupikia na huduma bora zaidi wakati wote. M-Gas inatumia teknolojia janja kubadilisha maisha kwa kukuuzia gesi safi ya kupikia kwa Mtanzania saa 24, siku 7...
  10. Ndetirima

    Biashara ya gesi ya matumizi ya kupikia majumbani

    Nauliza kwa anayejua faida ninayoweza kupata kwa kufanya hii biashara na kiasi kizuri cha kuanzia yaani mtaji.
  11. Meneja Wa Makampuni

    Mfumuko wa bei umo ndani ya mafuta ya vyombo vya moto (petroli na dizeli), kwenye umeme na kwenye gesi ya kupikia

    Mfumuko wa bei umo ndani ya mafuta ya vyombo vya moto (petroli na dizeli), kwenye umeme, na kwenye gesi ya kupikia. Ukitaka kucontrol mfumko wa bei inatakiwa ucheze na bei za mafuta, gesi ya kupikia na umeme ndani ya nchi. Pia kutokana teknolojia kukua, mfumko wa bei umo hadi kwenye huduma za...
  12. N

    Mnaponogewa kukusanya kodi na tozo kwenye gesi ya kupikia, kumbukeni pia kujiandaa kukabili athari za kimazingira

    Kutokana na kupanda bei kwa gesi ya kupikia hivi sasa kuanzia alfajiri pilikapilika za bodaboda zilizobeba mafurushi ya mkaa mithili ya fuso zimeongezeka kwa spidi ya kimbunga. Hii inaashiria kwamba asilimia kubwa ya familia zilizokuwa zimeanza kutumia gesi zimerudi kwenye matumizi ya mkaa...
  13. nduza

    Ewura: Bei ya gesi ya kupikia imepanda kwa kati ya Tsh 2000 hadi 5000 kutokana na kupanda kwenye soko la dunia

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini...
  14. J

    Serikali yashangaa gesi ya kupikia kupanda bei, yataka viwanda vieleze sababu ya ongezeko hilo

    Serikali imesema viwanda vya gesi ya kupikia havijafata utaratibu katika kupandisha bei hivyo bei mpya hazitambuliki. Afisa wa Ewura mr Kaguo amesema viwanda vya gesi vimetakiwa vipeleke vigezo vya kupandisha bei na serikali ama itavibariki na kukubali bei mpya ama itavikataa kama havijitoshelezi.
Back
Top Bottom