Mifumo salama kwenye nyumba yako au ofisini kwako.
Gesi ya kupikia inahitaji kuwekewa mfumo salama kwa kufanya pipeline ambazo zitakwenda kwenye jiko au mahala inapohitajika gesi kutumika Tu.
Gas pipelines installation ni muhimu kwenye nyumba za kuishi, hotelini, maabara za mashuleni, taasisi...