gesi ya mtwara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Naomba majibu ya maswali haya kuhusu gesi ya Mtwara

    1. Nani mmiliki halali wa gesi ile ya Mtwara? 2. Serikali inalipwa in terms of kodi au ilishalipwa kwa mauziano ya moja kwa moja, au mwekezaji kawa mmiliki mpangaji kwamba serikali itakabidhiwa mradi baada ya muda wa makubaliano kuisha? 3. Wakati mshikemshike ikitokea Mtwara na Lindi...
  2. Replica

    Tanzania Taifa la 14 uzalishaji gesi asilia Duniani

    Tanzania ni nchi ya 14 duniani kwa uzalishaji wa gesi asilia ikizalisha 0.05% ya gesi yote inayozalishwa duniani. Uzalishaji wa gesi nchini umeongezeka kwa asilimia 9 mwaka 2023 kulinganisha na mwaka 2022. Mataifa yanayoongoza kwa uzalishaji wa gesi asilia ni Marekani, Urusi na Iran. Kampuni...
  3. figganigga

    Je, kampuni Kemexon ya Ubelgiji ndiyo inayoiba mafuta na Gesi ya Mtwara?

    Salaam wakuu, Hivi karibuni tumeshuhudia Meli zikianza kubeba Makaa ya Mawe kutoka Mtwara. Watu wakadai Makaa ya Mawe Tanzania inayauza kwa kila tani moja ni Elfu sitini za kitanzania huku Soko la dunia kila tani ni Dola 300 zaidi ya laki saba za Kitanzania. Hivyo ikaonekana huu mkataba ni wa...
  4. konda msafi

    Je,hatukuambiwa umeme wa gesi ya Mtwara ukikamilika tatizo la umeme litakuwa historia?

    Nakumbuka kila kiongozi mwandamizi wa serikali ya awamu ya 4 akiwa kwenye tv alikuwa anahubiri ukomo wa tatizo la umeme pale mradi wa umeme wa gesi ya Mtwara utakapokamilika. Kulikuwa na uzinduzi mwingi tu sijui wa Kinyerezi one, sijui terminal two. Tulihakikishiwa mradi ukikamilika hakutakuwa...
  5. Babe la mji

    Mungu wa mbinguni uwalaani wote waliouza gesi ya Mtwara kitapeli

    Nakuomba Mungu awalaani hawa wahuni waliouza gesi yetu ya Mtwara kihuni maana walichokifanya ni kitendo cha mauaji makubwa kwa ustawi wa nchi yetu. Gesi ndo uchumi wa nchi ya Urusi, wao wametumia hii lasilimali kukuza uchumi wao na Ulaya mashariki wanamtegemea mrusu Kwa hii nishati. Ubabe wa...
Back
Top Bottom