gesi

The GESIS – Leibniz Institute for the Social Sciences is the largest German infrastructure institute for the social sciences. It is headquartered in Mannheim, with a location in Cologne. With basic research-based services and consulting covering all levels of the scientific process, GESIS supports researchers in the social sciences. As of 2017, the president of GESIS is Christof Wolf.
GESIS is part of the Leibniz Association and receives federal and state funding.

View More On Wikipedia.org
  1. Finland waanza mbinu za kuepuka gesi ya Urusi, jameni Putin anazidi kuzika nchi yake kiuchumi na kijeshi

    Hamna kizuri uja kwenye kupoteza biashara, hata ujipige kifua mara ngapi, ukipoteza mteja hata mmoja ni hasara sana. Bara Uropa lote linakimbia gesi ya Mrusi. Like many countries in Europe, Finland is looking to liquified natural gas (LNG), to replace the mainly pipeline-transported gas it used...
  2. TPDC inatarajia kuanza usambazaji wa Gesi asilia nchi nzima

    Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema limeandaa mpango maalumu wa kuanza kusambaza nishati ya gesi asilia kupitia mabomba makubwa kwa lengo la kuwafikia wateja wengi katika mikoa mbalimbali nchini. Mtaalamu wa idara ya mafuta na gesi kutoka TPDC, Mhandisi Eva Swilla amesema...
  3. S

    Jipatie jiko la gesi la kulipia kidogo kidogo kama luku kuanzia sh 1000

    Hili ni zuri sana, haikulazimishi kulipia mtungi mzima kwa Sh 23000 au Sh 58000. Kwa Sh 1000 yako tuu (buku) unanunua sehemu ya gesi iliyo kwenye mtungi na kupikia. Achana na zile gesi ikiisha unatelekeza mtungi na kurudi kwenye mkaa au kulazimika kutibua bajeti yako uliyojiwekea. Unalipia...
  4. UTURUKI inataka gesi ya bei nafuu ya Kirusi - Bloomberg

    Punguzo hilo linaweza kusaidia Ankara kuzuia kupanda kwa bei ya nishati, 'The outlet reports' Ankara inatafuta kupunguzwa kwa bei kwa zaidi ya 25% ya gesi asilia ya Urusi, Bloomberg iliripoti Alhamisi, ikitoa mfano wa maafisa wakuu wa Uturuki. Suala hilo linaripotiwa kujadiliwa siku ya Ijumaa...
  5. S

    Ushawahi kusikia kampuni inayouza gesi ya kupikia mpaka Tsh. 1000?

    Katika dunia ya leo suala la habari (Information) ni muhimu sana hasa kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Ukosefu wa habari sahihi juu ya inshu fulani iwe ya kijamii, kisiasa au kiuchumi itakufanya ushindwe kufanya maamuzi sahihi ama itakuwa na athari kwako kwa namna moja ama nyingine. Moja ya...
  6. C

    Ifahamu Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania- Sehemu ya Kwanza (Utangulizi)

    Ili niweze kugusia kila eneo, basi makala hii itakuwa na sehemu angalau tatu ambazo ni Utangulizi, Sera, Sheria na Kanuni zinazoongoza sekta hii, na sehemu ya mwisho fursa zilizopo. Kwa kuanza, naweza kuiweka Gesi ya Tanzania kwenye makundi makuu mawili. Kundi la kwanza ni ile ambayo ugunduzi...
  7. Sekretarieti ya ajira ondoeni kigezo cha cheti cha ERB kwa kozi za mafuta na gesi (petroleum) wekeni kigezo cha COMMON QUALIFICATION SYSTEM

    Kazi yoyote inayohusu mafuta na gesi (petroleum) watangazieni wote waliosomea mafuta na gesi na mwaite wote wafanye usaili atakayepita ndio huyohuyo. Kazi hizi ni: Production, Reservoir, Drilling, Petroleum, Exploration, Processing, Oil and Gas Operation, Quality Assurance and Control. Hizo...
  8. Qatar kuuzia Ujerumani gesi kwa miaka 15

    Hamna namna kwa waarab sasa, na wao wameona wachangamkie fursa, Mrusi hana wa kumuunga mikono labda waarab wa Bongo tu... ================= Germany will receive liquefied natural gas (LNG) from Qatar from 2026 and for a period of at least 15 years, Qatari Energy Minister Saad Sharida al Kaabi...
  9. Serikali kuvuna 75% ya mapato kitalu cha gesi Ruvuma-Mtwara

    Serikali imeingia makubaliano ya kihistoria ya uzalishaji na ugawaji wa mapato (PSA) kitalu cha gesi cha Ruvuma-Mtwara yenye thamani ya Dola milioni 500, hiyo ikiwa ni miaka saba tangu kubadilishwa kwa sheria ya Petroli mwaka 2015. Kupitia mkataba huo, Serikali itapata faida kwa asilimia 75...
  10. B

    Kwa mara ya kwanza Serikali sasa kupata 75% ya mapato ghafi ya mafuta na gesi

    25 November 2022 January Makamba - Kitalu cha gesi Ruvuma Mtwara, serikali kuvuna 75% ya mapato ghafi Video courtesy of Millard ayo Hayo yamebainisha na waziri wa nishati Mh. January Makamba kufuatia mkataba huo wa kihistoria serikali. Waziri January Makamba anabainisha kuwa huko nyuma...
  11. Bomba la gesi lalipuka Urusi, zaidi ya watu milioni moja kukosa gesi, hivi vita vinakwenda pabaya

    Hili tukio linadhaniwa kama ulipizaji wa kisasi baada ya Urusi kushukiwa kwenye ulipuaji wa bomba la gesi la "Nord Stream". Zaidi ya Warusi milioni moja kukosa gesi, huku wakielekea kwenye msimu wa baridi, kwa kifupi hivi vita havifai, Putin anapaswa afahamu anaowashambulia na wao pia wako...
  12. Tujaribu kuongeza uzalishaji wa umeme wa gesi ili kutatua tatizo la kukatika kwa umeme

    Ni kweli kumekua na tatizo la upungufu wa maji uliosababishwa na ukame. Swala hilo linapelekea maji ya kwenye mabwawa yanayotumika kufua umeme kupungua. Lakini pamoja na hayo yote tunaweza kuongeza ufuaji wa umeme wa kutumia gesi. Tunajua asilimia 62 ya umeme tunaotumia Tanzania ni wa gesi...
  13. Msumbiji yaanza kusafirisha Gesi kwenda Ulaya

    Wakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo Msumbiji ambao walitukuta nyuma yetu kwenye masuala ya Gesi wameanza kusafirisha Gesi kuelekea ulaya...
  14. Katazo la Mkaa

    Ilirushwa habari kwenye TBC Aridhio tarehe 9 Novemba 2022 ya mkuu wa mkoa wa Songwe Ndugu Waziri Kindamba akipiga marufuku uchomaji wa mkaa katika mkoa wake. Haya. Unamwambia mwananchi asitumie mkaa, atatumia nini? Tuwe na uhalisia tuache kufanya maamuzi yasiyotekelezeka. Maandalizi ya nishati...
  15. Kwa hasira Waacha gesi ya kwenye mabomba wanunua ya mgando LNG kutoka huko huko

    Katika mwezi Oktoba pekee mauzo ya gesi ya Urusi yamepanda kwa asilimia 1.1 kutoka 4.3 ya kabla yake. Wateja wakubwa wa gesi ya Urusi ni mataifa ya Ulaya karibu yote. Katika kuiunga mkono Ukraine mataifa hayo isipokuwa Bulgaria yaliamua kutonunua gesi ya Urusi inayotiririka kwenye mtandao mpana...
  16. Russia anapata faida nono ya gesi halafu mnasema atafirisika, mtasubiri sana

    Russian LNG exports rising – Bloomberg Countries are rushing to secure supplies for winter despite the push by Western nations to abandon Russian energy © VCG via Getty Images Exports of liquefied natural gas (LNG) from Russia surged in October despite the push by the West to cut reliance on...
  17. M

    Wamama wa CCM wamekengeuka! Kwani posa ikiwa na mtungi wa gesi ndio akiolewa atakuwa anajaza gas bure?

    Pesa ya kujazia mitungi ya gas tabu. Kupata chakula tu ni tabu. Leo hii mnakomalia mitungi ya gaz
  18. G

    Nini kipo nyuma ya kampeni ya kutumia Gesi?

    Tumekua watu wa kurudia na kurukia kila jambo siku za hivi karibu kumekua kampeni za kuipigia chapuo kampuni moja hisa ambayo gesi majumbani ikiwa ni kampeni ya kusisitiza wananchi wa Tanzania kutumia gesi which is good ila suala linakuja kwanini hiyo kampuni. Kwanini bwawa la JNHPP...
  19. M

    Huu sasa ni uharamia: Kumbe bomba la gesi Nord 1 lilifumuliwa, kipande cha mita 40 kikatoka!

    Sasa nimeelewa kwa nini nchi za magharibi hazikutaka kabisa kuihusisha Urusi kwenye kuchunguza kilichotokea kwenye mabomba ya gesi toka urusi. Tuliambiwa gesi ilivuja kumbe siyo kuvuja bali ILIMWAGIKA!! Kuvuja maana yake kuna tundu kwenye bomba. Kumbe si tundu bali bombomba lilifumuliwa na...
  20. Tatizo la vijana waliosomea mafuta na gesi kuzagaa mtaani wakati kila siku tunasikia miradi ya mafuta na gesi inazungumziwa na Serikali

    Nimeona hili leo niliseme pengine viongozi wetu hawalifahamu swala hili: Kweli kumekua na tatizo la vijana wetu waliosomea fani za mafuta na gesi kuzagaa mtaani tangu fani hizi zilipo anzishwa mwaka 2013. Asilimia 80 ya vijana waliosomea fani hizo hawaja ajiriwa mpaka sasa. Na walianza kuhitimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…