Kwa wale wapenzi wa Bongo Fleva, mtakumbuka kuwa zaidi ya miaka 10 iliyopita, staa wa muziki huo wakati huo, Hussein Machozi, alitoa wimbo uliogusa hisia za wengi ambao ndio umebeba Title ya thread hii “KAFIA GETTO.” Wimbo huu ulielezea kisa cha kweli kilichotokea kwa mmoja wa watu wa karibu wa...