Maji haya yalifika kwa wingi mkoani kwetu Geita mwaka 2019. Sasa naomba kufahamu kwa matumizi ya kupikia yako salama kweli?
👉Na hayo mapovu meupe ni chemical gani ambayo imetumika? Maana yanakaa kwa dakika 6 ndio yanakuwa kwenye normal state ya colorless
👉Lakini kwanini maji yanakuwa machungu?