ghadaffi

  1. Ukiona Nchi Yako Haitofautiani na Marekani, Jua Wanakumudu (Nyuki wa Mashineni): Ukoloni Mamboleo na Sanaa ya Kucheza Karata Mbovu

    Marekani imekuwa, na inaendelea kuwa, nguvu kuu inayotawala siasa za kimataifa kwa mkono wa chuma uliofunikwa kwa glavu ya hariri. Hakuna taifa linalojiita huru lakini likakubali kuwa na mahusiano mazuri na Marekani bila kutoa kafara misingi yake ya uhuru. Ikiwa nchi yako haipingani na Marekani...
  2. Kwa Maneno haya ya Mwalimu Nyerere kwa Ghadaffi alikuwa anamaanisha nini? Maana Nyerere alikuwa "Jiniaz"

    Nukuu kutoka kwa mmoja ya mashujaa wetu Echolima
  3. Ghadaffi Alitawala miaka 41 (1967-2011), alikuwa na kitu gani cha ziada?

    Miaka 10 tu inatosha kupima uwezo wako wa uongozi. Ghadaffi ALITAWALA Miaka 41 ALIKUWA na KITU GANI CHA ZIADA? Kuna watu wengi wanalalamika kupinduliwa Kwa ghadaffi Kwa madai ETI alikuwa na maono ya kuunganisha Africa, Kweli? Mambo mengi kuhusu Ghadaffi yalikuwa propaganda. Miaka 41 Kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…