Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo,amesema mfumo wa Stakabadhi za Ghala, umeendelea kuwa chombo muhimu katika kuimarisha urasimishaji wa biashara ya mazao kwa kuweka uwazi, kuongeza ushindani wa bei na kuwahakikishia wakulima masoko ya uhakika.
Dkt.Jafo,ameyasema hayo leo...
JENISTA MHAGAMA: UJENZI WA GHALA LA MSD DODOMA LAKAMILIKA KWA ASILIMIA 95
Ujenzi wa ghala la kuhifadhi bidhaa za afya la Bohari ya Dawa Kanda ya Dodoma lenye ukubwa wa mita za mraba 7,200, litakalogharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 23.7 umefikia asilimia 95.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya...
Habari ndugu zanguni,
Naomba tushauriane na tutoe ya moyoni kuhusu shule zinazowaingiza watoto kufanya usafi kwenye maghala ya kuhifadhi mahindi hizi ishu naona isipoziwa sauti itakuwa sugu kwa sasa. Jana nimeona watoto Watatu wa Form 3 wamefariki Dunia baada ya mwalimu kuwachukua watoto sita...
Hii inchi ina utajiri wa vinyesi, yaani kila kaya ina hifadhi kubwa ya kinyesi au ghala la kinyesi. Tafsiri ya hili jambo ni nini, yaani nchi nzima imetapakaa vinyesi
Tufanyaje basi, tukusanye vinyesi vyote na maji taka tupeleke sehemu moja mahususi ambapo tutaifadhi ardhi yetu isaje vinyesi...
Mafunzo hayo yanayofanyika kila mwaka nchini yenye lengo la kuwajenga uwezo Watendaji wa Kampuni za waendesha ghala, Wasimamizi wa Ghala, Meneja Dhamana pamoja na washiriki binafsi yamefunguliwa na Mkuu wa wilaya ya Ubungo Hashim Komba leo Tarehe 28 Agosti 2023, katika ukumbi wa...
Wamediriki na wamefanya....jeshi lao liko mpakani na Belarus, Putin alibwatuka mikwara na vilio ila ndio hivyo ashakua mzee wa kupuuzwa....
POLAND has sent troops to their border with Belarus to face off the growing threat of Wagner forces amassing on the Nato nation's eastern flank.
Vladimir...
Ni majonzi makubwa yamekighubika kijiji kizima cha Mukalinze.Wanakijiji wote, wanaume na wanawake ni kama tumepoteza sababu ya kuyafurahia maisha kwa pigo lilokipiga na kukijeruhi vibaya kijiji chetu hiki kikongwe.
Kama sasa hivi akifika mgeni ghafla hapa kijijini kwetu,anaweza kufikiria...
Kigahe: Anzisheni Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye mazao mengine.
Naibu Waziri wa Uwekezaji,Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe ameitaka Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi kuzingatia maagizo ya Serikali ya kukamilisha taratibu za kuanzisha Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwenye mazao mengine...
Kiuhalisia hii operation Urusi anapambana na mataifa si chini ya 30. Leo kama kawaida baada ya taarifa za intelijensia, ghala lililo jaa shehena ya silaha za misaada za NATO lalipuliwa na makombora ya Urusi.
Swali la kujiuliza: JE, PATRIOT SYSTEM ILIKUA IMEZIMWA? Au mafuta yaliisha?