ghali

Boutros Ghali (12 May 1846 – 21 February 1910; Coptic: Ⲡⲉⲧⲣⲟⲥ Ⲅⲁⲗⲓ, Arabic: بطرس غالى‎; styled Boutros Ghali Bey later Boutros Ghali Pasha) was the prime minister of Egypt from 1908 to 1910.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Kwanini Aluminium furnitures ni ghali sana?

    Nimejiuliza swali hilo kila mara. Nini kinasababisha Aluminium furnitures kuwa ghali sana. My observation ni kuwa they are not labour intensive...ni kata unganisha kirahisi and all is done! Au. Material yanyewe ndiyo ghali?
  2. The Assassin

    Trump: Kwenye serikali yangu hatuhitaji umeme wa upepo, ni umeme ghali sana. Hatutashiriki hata mara moja kujenga mitambo ya umeme wa upepo.

    Rais mteule wa Marekani ameonya kwamba kwenye serikali hakutakua na muendelezo wa ujenzi wa umeme wa upepo. Trump anasema umeme wa upepo ni umeme ghali sana. Ni umeme unaotegemea ruzuku, bila ruzuku hakuna mtu anaweza kumudu kununua umeme wa upepo. Trump anauliza ni nishati ya namna gani hiyo...
  3. G

    CCTV video: Wizi wa vitu ndani ya magari, usijenge mazoea ya kuacha vitu ghali kwenye gari,

    kukumbushana sio mbaya, tahadhari muhimu kuliko kusubiri yakukute Muda mwngi katumia kusubiri watu wapite, 2:00 kapiga tukio
  4. G

    Ni jambo la hekima sana kumweka wazi bajeti yako kwenye mtoko wa date lasvyo umempa tiketi ya kuagiza vinywaji ghali na kuleta marafiki zake, n.k.

    Hii ni muhimu zaidi kwetu wenye vipato vya kawaida. Sio jambo la aibu hata kidogo wala sio urijali wala ujanja kwenda date bila kumpanga mapema kuhusana na bajeti. Ukishindwa kujipanga jiandae kupata aibu, kuharibu bajeti yako, n.k. Kumjuza bajeti yako itakusaidia mapema kujua kama yupo nje ya...
  5. Mad Max

    Miaka 10 iliyopita iPhone 6 ilitoka na ya bei ya juu kabisa ilikua $499, mwaka huu iPhone 16 imetoka bei ya juu kabisa ni $1,599

    Wazee wa JF. Nakumbuka 2014 September, Tim Cook alipanda stejini na kutangaza simu mpya mbili, iPhone 6 na iPhone 6 Plus. iPhone 6 ilianzia $199 kwa 16 GB na 6 Plus ilianzia $299 kwa 16 GB. Bei ya juu kabisa ya 6 Plus ilikua ni $499 yenye 128 GB. Mwaka huu, September yule yule CEO wa Apple...
  6. Mad Max

    Napigwa hapa au? Mafuta ya "Sunscreen SPF 30" yanauzwa Bei ghali hivi?

    Wakuu wa Urembo. Wifi na shemeji yenu kuna kazi anafanya jua linamuharibu ngozi yake. Katika kuulizia imebidi atumie mafuta ya kulinda na mionzi ya jua (sunscreen). Sasa mimi nikaona nimfadhili, eeh kuulizia naambiwa bei ghali sana. Kusema kweli mi kununua hii bei naogopa (above 50,000/=Tsh...
  7. Jaji Mfawidhi

    Simu mpya ghali kabisa zazinduliwa na Elon Musk!

    Hii ndio simu ambayo Elon Musk anatarajia kuizindua mwezi august 2024. Hii simu ukinunua maisha yako yote unapata free internet toka star link. Pia utapata uanachama wa X[tweeter] premium na kuwa verified. Sisi tuendelee na kujenga matundu ya choo na kubishana kuhusu Simba na Yanga.
  8. lufungulo k

    Kama elimu ni ghali basi jaribu UJINGA

    JWTZ kwa kirefu ni JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA moja ya majeshi imara sana katika Ukanda wetu. Kuna kipindi wakati wa utawala wa Mh JOSEPH POMBE MAGHUFULI (RIP) walifanya onesho la mapigano na kulinda mipaka huku wakimualika Rais wa nchi kushuhudia. Kisha katika HOTUBA yake waziri wa ulinzi...
  9. Jackal

    Ukraine Washambulia Ndege Ya Kisasa Kabisa Na Ghali Ya Urusi Chapa Su-57

    https://www.aljazeera.com/news/2024/6/10/ukraine-says-it-struck-su-57-fighter-jet-on-ground-at-russian-air-base
  10. Mad Max

    Mnaotumia bidhaa za Apple® Mnapigwa sana. Sijui hata mnavyotoa hela mnafikiriaga nini?

    Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana. Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi wanawaibia "loyal customers" wake, sema ndio ivyo hawaoni au wanajizima data. Tuachane na iPhone...
  11. MINING GEOLOGY IT

    Katika nchi nyingi za Kiarabu, maji ni ghali kuliko mafuta

    Sababu kuu ni kuwa maji ni rasilimali adimu na yenye gharama kubwa ya uzalishaji na usambazaji katika maeneo hayo, wakati mafuta ni rasilimali ya asili ambayo hupatikana kwa wingi. Nchi nyingi za Kiarabu ziko katika maeneo ya jangwa na zinakumbwa na ukosefu wa mvua, hivyo vyanzo vya maji ya...
  12. ndege JOHN

    Sumu ya NGE ni sumu ghali kuliko zote hapa duniani

    Inadaiwa kuwa sumu ya nge ndio sumu ya gharama zaidi Duniani ikiuzwa kwa Dola za Kimarekani milioni 39 kwa galoni moja, sawa na Shilingi za Kitanzania bilioni 90. Galoni moja ni takriban lita 4.5 Sumu ya nge inaweza kumsababishia maumivu makubwa mwanadamu ikiwa ataumwa na mdudu huyu, lakini...
  13. J

    Hivi ni kwanini bei ya samaki ni ghali sana maeneo ya pembezoni mwa bahari

    Tangu nimekuwa nikitembelea ukanda wa Pwani yaani mikoa ya Pwani, Dar, Lindi na Mtwara nimekuta na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza, tukianza na bei ya samaki ipo juu kuliko hata mikoa ambayo haina rasilimali bahari au maziwa Kwa ajili ya uvuvi wa bidhaa hiyo. Baadhii ya watu husema...
  14. G

    Tukomae kutoa aibu ya kuwa nchi isiyo na kombe , Yanga na Simba za sasa zinaweza! Ligi ya Mabingwa ni kwa wazito wenye pesa nyingi na connections

    Ni meza yenye vinywaji ghali ukionekana unataka kuitikisa wata deal na wewe, mfano ni Yanga alitaka kudiriki kutikisa meza, chap akashughulikiwa. Mwaka jana Yanga alifika fainali ya shirikisho lakini ikawa ni heshima kubwa sana, Hapa nchini hakuna timu iliyowahi kufikia fainali ya kombe la...
  15. Chizi Maarifa

    Kama sukari mnaona ghali tumieni asali

    Si lazima sana watu wote kuhangaika na matumizi ya sukari. Kwanza sukari si nzuri ki afya. wataalamu wengi wameilaani sana. Mimi nashauri badala ya kulia lia tuje na mbadala. Serikali haizalishi sukari siyo kazi yake hiyo. kama watu mnaona sukari ni ghari basi tumieni tu asali hiyo ni njema zaidi.
  16. Poppy Hatonn

    Licha ya Serikali kufanya juhudi kubwa, bidhaa ni ghali sana

    Wananchi wanashindwa kumudu gharama za maisha. Sijasema nasapoti maandamano. Kusapoti kwangu naona Kama ni kuruhusu, na mimi siyo kazi yangu kuruhusu au kutoruhusu maandamano. Mwenye kazi hiyo ataifanya. Mimi natoa my honest opinion kwamba vitu vimekuwa nei ghalo sana. Halafu jana tumeona...
  17. Bushmamy

    Elimu bure bado ghali kwa badhi ya wazazi, baadhi ya Wazazi Washindwa kupeleka watoto shule

    Baadhi ya wazazi katika wilaya Ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wameshindwa kuwapeleka watoto wao kuanza kidato cha kwanza kwa mwaka 2023 kutokana na Kukosekana kwa fedha za michango mbalimbali inayofikia kiasi cha shilingi laki na sabini kwa kila mwanafunzi. Aidha Baadhi ya wazazi Wengine ambao...
  18. T

    Mashine za Uwakala za NMB ni ghali sana halafu ni shida mno kuzipata

    Nawatafuta NMB, nilishawahi kuona uzi wao humu lakini sijui ulipo sasa. Mashine za uwakala za NMB (POS) moja inauzwa TZS 1,106,000/= (Milioni moja laki moja na elfu sita). Ajabu ni kwamba, pamoja na bei kubwa kiasi hicho kuipata mashine ya NMB ni kazi ngumu mno. Nimeomba kwao kupatiwa hii...
  19. Donnie Charlie

    Hii ni mojawapo ya filamu za bei ghali zaidi za filamu zisizo na sauti za wakati wote

    Hii ni mojawapo ya filamu za bei ghali zaidi za filamu zisizo na sauti za wakati wote. Video hii ya upigaji picha kutoka kwa Buster Keaton "The General" (1926) iligharimu $42,000 (sawa na $600,000 leo). Kampuni ya uzalishaji iliacha mabaki ya gari-moshi huko Row River, kusini mwa Cottage Grove...
  20. BigBaba

    Je Wajua Ayam Cameni ni kuku Weusi mpaka nyama na kiini cha Yai?

    1. Hao kuku wanaitwa Ayam Cameni , Ni Weusi kwa kila kitu mpaka nyama na kiini cha Yai, 2. Waligunduliwa nchini Indonesia Karne ya 17 na bado hawapatikani nchi nyingi Hadi sasa 3. Nchini Marekani waliingia mwaka 1998 na Yai moja la kuku Hawa nchini marekani linauzwa dola $130 Karibia Shilingi...
Back
Top Bottom