ghali

Boutros Ghali (12 May 1846 – 21 February 1910; Coptic: Ⲡⲉⲧⲣⲟⲥ Ⲅⲁⲗⲓ, Arabic: بطرس غالى‎; styled Boutros Ghali Bey later Boutros Ghali Pasha) was the prime minister of Egypt from 1908 to 1910.

View More On Wikipedia.org
  1. Nini kinafanya hoho nyekundu na njano kuuzwa ghali kuliko za kijani?

    Wakulima hizi hoho nyekundu na njano zina nini special ukiachana na rangi za kuvutia, kwanini zenyewe bei iko juu kuliko za kawaida? Soko la ilala mara ya mwisho nlinunua hoho za kijani kilo moja ni elf 3....lakini hoho nyekundu na njano moja inauzwa elf moja. kwanini ni ghali, au kilimo chake...
  2. Kwanini bia ziuzwe ghali zaidi Dar es salaam kuliko mikoani?

    Mikoani Safari ni 1,500 huku Dar Safari ni 2,500 mpaka 3,000, WHY? Bia zote za TBL ni bei juu Dar kuliko mikoani ambapo nilitegemea kinyume chake kwasababu Dar hakuna gharama za usafirishaji ukilinganisha na mikoani, This is stupid!
  3. Simba tengenezeni rekodi yenu ya kuuza mchezaji bei ghali kumzidi Mayele

    Siku za hivi karibuni tumezoea kuwaona wazee wa Robo Fainali CAF aka mwakalobo aka kolowizad aka boss wa kununanuna wakipika data mbalimbali ili tu wawapiku wapinzani wao wa jadi ambao kwa sasa ndio talk of the country, Yanga. Sasa inasemekama Mayele kauzwa kwa takribani 2.8B, record ambayo...
  4. Nyie warembo, kwa nini huwa mnajiweka kwa bei ghali wakati uhalisia unajijua?

    Unamtongoza mrembo, anakuwa ana nata kweli; ukimtoa 'out' anaanza kuagiza vitu vya bei ghali; unaweza ukahisi labda ndivyo alivyo katika maisha yake ya kila siku; kumbe akiwa nyuma ya pazia, ugumu wa maisha yake anaujua mwenyewe. Mbaya zaidi, vitu anavyoagiza ndivyo anataka afanye majaribio kwa...
  5. Pale kinyesi cha mnyama kinapotengenezwa kupata kinywaji ghali Duniani

    Habari zenu wakuuu. Huko Indonesia kwa muda sasa wamegundua njia bora ya kuzalisha kahawa bora inayoitwa "Luwak coffee" kupitia kinyesi cha mnyama wanayemuita Luwak au "Civet cat". Mnyama huyo pamoja na vyakula vingine anapenda kula mbegu mbivu za kahawa (buni), kwakuwa tumbo lake haliwezi...
  6. Wanaume tumekuwa Madini Ghali sana. Tumeanza kugombaniwa na Mademu. Natunza tu Nguvu zangu...Nitawala....

    Nikitizama huku naona mashoga wanaongezeka.... Nikigeuka kule wasio na nguvu za kiume nao wanaongezeka.... Naamka napiga pushups.. Nikicheck tena kwa mbali kule wacheza pool au wazee wakujichukulia sheria mkononi wanaongezeka....natabasamu.. Yaani unakuta kakijana kanalamba lamba lips tu kama...
  7. Masikini wanaishi maisha ghali kuliko matajiri

    Sidhani kama kuna mtu anabisha, let's look on this example; Masikini coz hana hela itambidi badala ya kununua mchele kwa bei ya jumla ya sh. 2,100 itampasa anunue kwa rejareja kwa sh. 2,500. Badala ya kununua gesi mtungi wa kilo 15 kwa 56,000 italazimu anunue mtungi wa gesi wa kilo 5 kwa...
  8. Vifurushi vya mitandao ya Simu vimepunguziwa ujazo, bei zimepanda zaidi, hali ni chungu

    Hata kwa elf 2 huwezii kununua Gb utaambulia MB, vifurushi vimepanda mno Kwa hali iliyopo Sasa kumetokea mabadiliko yanayoongeza ukali wa maisha kiuchumi kwenye kuvimudu vifurushi, mitandao ya Simu imepunguza ujazo wa vifurushi na kuvifanya viwe ghali zaidi. niliwahi kusema hivi vifurushi kuna...
  9. Pesa ya Breki ndio sababu abiria kuuziwa chakula ghali sana njiani

    Wale wanao milki migahawa njiani huwalipa Madreva pesa ya Breki, maana yake Dereva akiingiza Basi pale hata nusu ya abilia wasipo kula yeye pesa yake iko pale pale na kumbuka kuna abiria wagumu ana shuka anaenda washroom akitoka hapo anarudi kwenye basi hanunui kitu na pia kuna abiria wana...
  10. M

    Kafulila: Bei ya mafuta Nairobi ni ghali sana pamoja na Ruto kuwa Rais, Dar bei iko chini. Hongera Rais Samia

    Gthinkers wasalaam, Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa Twitter. Ukweli ni kwamba bei ya mafuta imeshuka sana Tanzania japo hatujaona waliokuwa wakilalamikia kupanda kwa bei wakipongeza kushuka kwa bei. Pia Soma hii, 👇👇👇 BEI...
  11. Gerson Msigwa, Rais Samia angekuwa na uchungu na wananchi asingekubali tozo na maisha kuwa ghali namna hii

    Vyakula vimepanda bei. Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali Maisha yamekuwa ghali. Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini. Sasa unaleta porojo! 👇
  12. D

    Nchi 10 zenye bei ghali zaidi ya umeme wa majumbani barani Afrika

    Nchi 10 zenye bei ghali zaidi ya umeme wa majumbani barani Afrika 1 Rwanda 🇷🇼: Kaya za Rwanda hulipa wastani wa $0.26 kwa kila saa ya kilowati ya umeme, hii itatafsiri kuwa $6.24 kwa siku na $194.44 kwa mwezi. Cape Verde 🇨🇻 : Kilowati ya saa moja ya umeme itagharimu kaya moja huko Cape Verde...
  13. Uwanja ghali zaidi duniani (SoFi Stadium)

  14. Petrol na diesel Tanzania ni ghali kuliko Kenya

    Uchunguzi wangu mdogo inaonyesha kwamba kwa mwezi huu wa Mei Dar ✅Petrol ni Sh. 3100+ ✅Diesel Sh 3200+ Nairobi ✅Petrol 144+ Ksh=2884Tsh ✅Diesel 125.5= 2503Tsh. Mombasa ✅Petrol Ksh. 142=2850Tsh ✅Diesel Ksh. 123=2463Tsh Bado sijaelewa sababu ya hii difference ilihali wote tunasingizia vita ya...
  15. Kichekesho cha beki ghali duniani Maguirre

    Unaambiwa huyu jamaa kila mara anakuwa upande wa timu pinzani. CR7 anataka top four,maguirre hataki. De Gea anamuogopa huyu beki zaidi ya washambuliaji wa timu pinzani. Katika hii picha hapa chini ameamua kuapply kile anachokifanya kwenye mazoezi. Pogba alikula kiatu cha uso.
  16. Kwanini Tanzania mafuta ya petrol na diesel ni ghali kuliko wanufaika wa bandari yetu?!

    Habari ya uzima ndugu zangu? Nimewaza sanaaa hili jambo,maana naona namna mwananchi wa chini kiuchumi anavyoendelea kuminywa kupitia ongezeko la mafuta. Ni miezi miwili imepita madereva mkoani Mbeya walikuwa wanakimbilia Zambia kununua mafuta,maana ni bei nzuri kuliko kwetu. Au ndio...
  17. Kwanini sukari imekuwa ghali saaana wakati viwanda vipo nchini vya kutosha?

    Ndugu zangu wana jamvi wenzanzangu, wtz wenzanzangu, habari za asubuhi,, nitumsini langu mko poo Leo napenda tujadili sukari kidogo, niliwahi kusikia ni marufuku kuagiza sukari nje ili kulinda maslahi ya mlaji Hilo ni tamko la serikali kupitia waziri mkuu na waziri mwenye dhamana pia aliekuwa...
  18. Fahamu kuku ghali zaidi duniani

    Kuku Wa kabila la Dong tao ambao wanatambulika kwa kuwa na miguu minene ndiyo kuku ghali zaidi duniani.Kuku hawa huuzwa kwa bei hadi kufikia dola za marekani 2000. Wanapatikana kwa wingi nchini Vietnam. Awali kuku hawa, walitumika kama mapambo katika nyumba za kifalme, sasa hivi...
  19. C

    Hizi taa za Jokate Mwegelo mbona bei ghali hivyo jamani au zina link na satelites?

    Au labda ni teknolojia kama ya Mossad , CIA? isije ikawa zina satellite ndani, taa 32 kwa milioni 102 ukipiga hesabu ni kama vile taa moja ni tshs 3,187,000.
  20. Rais Samia, ukiongezea Kanisa misamaha ya kodi, Wananchi na watumishi tupewe misamaha pia ili tumudu huduma za Kanisa

    Nakusalimu Mhe. Rais, Kwanza ni ukweli ulio wazi kuwa kanisa hasa la Katoliki limekuwa likitoa huduma nyingi sana kwa jamii hasa katika elimu na afya na wamekuwa wakitoa msaada mkubwa sana kwa jamii na serikali kwani wamekuwa wakichagiza maendeleo kwa ujumla na hutoaji huduma. Ukweli ni kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…