Adv. Taslima Kaijage
+255 715 / 784 / 774 - 161820
1. Ukinunua ardhi(nyumba,kiwanja,shamba)hakikisha unafannya transfer(kuhamisha umiliki kutoka aliyekuuzia kwenda jina lako Mnunuzi) mara moja kadri uwezavyo.
Wengi mkinunua kwasababu hakuna anayekulazimisha kufanya transfer kwa haraka basi...