FUNDI UJENZI WA NYUMBA – MBEYA MJINI NA MIKOA YOTE YA TANZANIA 🇹🇿
Habari ndugu zangu! Mimi ni fundi wa ujenzi wa nyumba, napatikana Mbeya mjini. Ninatoa huduma za ujenzi wa nyumba kuanzia MSINGI HADI FINISHING, kwa bei nafuu na makubaliano mazuri kulingana na mahitaji na uwezo wako.
🏠 HUDUMA...