Bei zitapungua? Au wataambiwa waendane na bei za washindani zilizopo?
Najua kwenye ubora jamaa atawapiga chenga,
Meanwhile hivi ndivyo voda na wenzake walivyo sasa hivi
=====
Baada ya muda mrefu wa Watanzania kuhoji kwanini Tanzania hatujaruhusu uwepo wa Internet ya Starlink kutoka kwa...
Kwa kweli hawa jamaa in just short time unapata meseji ya "umetumia 75% ya bundle lako."
Tsh 2500 au Tsh 3000 ndio options za bundle za wiki jumuishi ya data na dakika.
Tsh 3000 unapata gb 1.4 kwa wiki ya internet.
Vipi mitandao mingine au gharama ni kama hizi hizi?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakatai wakati wa utiaji saini mikataba ya upelekaji huduma za mawasiliano nchini kati ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na watoa huduma za mawasiliano uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete amesema kuwa...
Sio kwamba najisifia la! hasha! Kuna wakati huwa natamani hata kaka yangu au dada yangu au ndugu wengine wa karibu waone au wasome nilichokiweka mtandaoni lakini inakuwa ngumu.
Katika familia yangu baba ana wanawake wa nne hivo watoto jumla tulio hai tupo 27, mimi ni wa 5 upande wa mama yangu...