Habari zenu wana JF tupo hapa kukumbushana mambo kadhaa kuhusu maswala ya uwagizwaji wa magari.
Unapotaka kuagiza gari ni vema kujua gharama za kodi linapofika bandarini itakufanya ujipime mfuko wako na kujipanga vizuri kwenye swala la kifedha kuepusha kushindwa kulipa gharama za kulitoa gari...