gharama za kuishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stroke

    Inakuwaje binadamu ndio mweye akili lakini analipia gharama kuishi?

    Japo ndio kiumbe mwenye akili kuliko wenzake hapa Duniani. Ila kwa maisha yake yote anagharamia. Lazima, alipie maji, nyumba, umeme, mavazi, chakula, usafiri, matibabu , mapenzi n.k. Yaani hata Konokono kamshinda maana ana nyumba yake na halipii kodi.
Back
Top Bottom