gharama za kuoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. "Bora ukosee kujenga kuliko kukosea kuoa" ni msemo wa kijinga kabisa. Unajua gharama za ujenzi wewe?

    Nilitumia miaka zaidi ya 10 nyumba yangu kukamilka kabisa,gharama sitataja ila itoshe kusema nyumba yangu ni ya thamani kuliko wanawake wote niliowahi kuoa au kuwa nao kwenye mahusiano. Leo hii ukibomoa hako kajumba kangu umenimaliza,kuja kuijenga tena sio rahisi, lakini huyu mke hata akiondoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…