Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amesema miili huzuiwa mochwari kutokana na madeni ya gharama za matibabu ambazo marehemu alikuwa akidaiwa pindi alipokuwa hai na si kushindwa gharama za mochwari.
Hili jambo limenikuta maana kuna ndugu yangu amefariki tangu Alhamisi iliyopita, alikuwa anadaiwa 2.5milioni, ila kwa ukata unaotuandama tulichanga tukapata laki 6, Leo tumeenda kuomba kukabidhiwa miwili wa mpendwa wetu, lakini wamekataa. Sijui tunafanyaje kwa hili.
1. Imekua kawaida Watanzania kwenda kutibiwa India kwa Kodi za wavuja jasho.
2. Hizi gharama CAG anaweza kuzikagua? Maana tunapanda nao Emirates wao wakitanua Business class na wasindikizaji huku walipa Kodi tukijilipia economy
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa wito kwa taasisi na watu binafsi wenye nia njema kujitokeza na kuchangia matibabu ya watoto wenye matatizo ya moyo kutoka familia zisizo na uwezo ili kuwaondolea au kupunguza mateso yanayosababishwa na maradhi...
Juzi wakati Tundu Lissu akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kuvuja kwa taarifa ya mauaji yake alilalamikia sana Serikali kuwa haijamlipa gharama zake za matibabu mpaka leo.
Serikali yetu ina upendo, mshikamano na tuko wamoja pia ni Serikali inayozingatia sheria, taratibu na kanuni ni...
Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya afya, hususan katika huduma za matibabu ya kibingwa na ubingwa bobezi. Huduma hizi zinahusisha upasuaji wa moyo, upandikizaji figo, upandikizaji uroto, upandikizaji mimba, matibabu ya saratani kwa mionzi, na nyinginezo. Maendeleo haya yanachangiwa na...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kupitia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, Prof. Charles Mkony wameiomba Serikali kuangalia namna ya kuwapunguzia deni ambalo wanadaiwa kutokana na msamaha wa gharama za matibabu kwa baadhi ya wagonjwa ambao wamepatiwa huduma na kushindwa...
Kutokana na malalamiko ya mara kwa mara ya watu kuhusu wagonjwa kuzuiliwa Muhimbili hata miezi mitatu na kuendelea sababu ya kushindwa kulipa deni.
Nashauri Waziri wa Afya atume watu (tume huru) wakapate ukweli kwa kupata taarifa ya Hospitali lakini pia kuongea na waathirika ili wapate ukweli...
Chuo cha Uhasibu Arusha kimethibitisha tukio la Askari wa SUMA JKT kumshambulia mwanafunzi wa chuo hicho baada ya kujibizana kwa madai ya kutokuwa na Kitambulisho.
Askari huyo amesimamishwa kazi huku Uongozi wa Chuo ukiagiza achukuliwe hatua zaidi za kiutendaji na kijinai, pia, Mwajiri wake...
Kwa kweli, kwa kweli, jamani, kwa hili la kukata umeme Kariakoo tangu asubuhi hadi muda huu umeme haujarudi kwa maeneo mengi ya Kariakoo, binafsi nipo tayari kutoa usafiri hadi Milembe, na nitalipa gharama zote za matibabu, this is Insanity!!!!!!!
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imekuja na mpango wa "BIMA YA AFYA KWA WOTE" dhamira ya serikali endapo sheria ya bima ya afya kwa wote itapitishwa ni kuhakikisha wananchi wanapata huduma za afya bila kikwazo.
Serikali imesema itaweka utaratibu wa kuchangia kwa kuzingatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.