Heri ya Krismas.
Ikulu kuu ya Taifa ya Chamwino iliyopo Dodoma ni Ikulu namba moja duniani kuwa na eneo kubwa sana la Aridhi. Sijasema ni Ikulu kubwa bali ndiyo namba moja kuwa na aridhi kubwa iliyotengwa kwa eneo la Ikulu tu. Majengo tu yamechukua ekari nane na eneo kubwa sana bado limebaki...
Ndugu Habari za majukumu? Mwenye uzoefu tafadhali, Je nikiasi gani cha weza kutumika kujenga nyumba yenye frame 3, ikiwa na sifa hizi.
upana wa frame uwe wa wastani
tofali za block
bati za kawaida
floor ya cement
ceiling board ya kawaida
Naomba kuwasilisha.
Nyumba Ina master bedrooms 2 cinema room kitchen dining , lounge na Stor kwa ground na floor ya juu Ina 3 master bedrooms office na stares kadhaa naomba wenyekua na expérience na ujenzi wanisaidie ili niingie mzigoni bila kua na wasiwasi … ni Makadirio ya boma tu bila finishing maana sijapata...
Nilitumia miaka zaidi ya 10 nyumba yangu kukamilka kabisa,gharama sitataja ila itoshe kusema nyumba yangu ni ya thamani kuliko wanawake wote niliowahi kuoa au kuwa nao kwenye mahusiano.
Leo hii ukibomoa hako kajumba kangu umenimaliza,kuja kuijenga tena sio rahisi, lakini huyu mke hata akiondoka...
JINSI YA KUFANYA MAKADIRIO YA GHARAMA ZA UJENZI WA NYUMBA
Habari wana Ujenzi! Watu wengi wanapata changamoto ya kufahamu makadirio ya material wanayo hitaji katika ujenzi wa nyumba ama majengo mbalimbali. Kwasababu hiyo nimeamua kuanza mfululizo wa kutoa elimu hiyo na leo tutaanza na mahesabu...
Mbinu mbalimbali zinazoweza kutumika kupunguza /kuokoa gharama zisizo za lazima katika ujenzi.
1)MBADALA WA TANK LA KUHIFADHIA MAJI.
Naanza na hii ,maeneo yetu mengi maji yanatoka kwa mgao wa mara moja kwa juma hivyo utalazimika uhifadhi maji kwa ajili ya kazi yako ya ujenzi.
Njia hii ni...
Kwa pato la mtanzania kuishi nyumba za kupanga ni kujitengenezea msingi mzuri wa umaskini.
Gharama za vifaa vya ujenzi zipo juu ukilinganisha na uhalisia.
Tunahitaji viongozi ambao wanaweza kutetea wananchi sio kusifia tu
Naomba msaada wa kunifanyia makadirio ya nyumba ya kisasa yenye bedrooms 3 plus master room 1 ambayo itakuwa basement planned to be a kitcheni.
Tukianzia kwenye boma lake itachukua sh ngapi
Mahali ni Dar es Salaam
Habari za leo wana JF.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kufahamu makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba ya kisasa ya vyumba 3 (Kimoja master na viwili vya kawaida), sebule, dinning, jiko, store na Public toilet.
Cheers
Habari za leo wakuu
Nina plan kujenga kagorofa total ocuppied space ya mjengo ni 238sq
Nataman kujua makisio ya labour charge kama fundi,
Natamani kujua makisio kwa floor
14*17
Naombeni msaada
Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi ila zile za hidden roof ni hatari kama ukipata fundi mbaya hizi hakuna nondo nyingi.
Kama unataka kuwasiliana na mimi 0743257669
Mimi ni plan ya kujenga mwaka huu, nyumba yenye vyumba vitatu katika mkoa wa PWANI. Sasa nilikuwa nataka kujua inwea kugharimu bei gani mpaka imamilike ili nijiandae vizuri financially.
Kwakweli nimechanganyikiwa, wanajamvini nisaidieni Mimi masikini, nafanya ujenzi lakini nahitaji vitu Bora na vya kipekee lakini uwezo wangu mdogo.
Sasa kama ilivyo sisi watanzania na dunia nzima ya kwamba tukiona vitu bei ni ghali basi tunajua hivyo vitu ni OJII na vina ubora wa hali ya...
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Mhe. Charlotta Ozaki Macias, ambaye ameahidi kuwa nchi yake itashiriki kugharamia ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR kipande cha tatu kinachoanzia Makutupora mkoani Singida hadi...
Habari waheshimiwa.
Nina kaproject kanakohitaji kama tofali 20,000 hivi kakamilike.
So far nina tofali 3000 ila nimepiga hesabu nikaona zikizobakia nikifyatua mwenyewe nitaokoa kama 40% ya pesa ya kununulia ila mafundi wananikatisha tamaa kuwa nitapata hasara tu ni bora kununua.
Naomba kujua...
Habari za wakati huu wana jukwaa
Lipo jambo la kuwashirikisha ili niweze kupat uwelewa zaid juu ya jambo hilo na pia iwe tija kwa wana jamii wengine kupata tarifa sahih pale watakapo hitaji
Kwa miaka mitano sas nime kuwa niki miliki eneo kubwa lilopo karibu kabisa na stendi baada kujitafakari...
Habari jamani, naombeni kujua gharama au makadirio ya ujenzi chumba kimoya choo na kijiko cha mchongo.
Kiwanja nnacho kipo Kibaha, Pwani.
Maji yapo karibu.
Mfano wa ramani ni kama unavoiona hapo chini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.