Wakuu habari,
Muda siomrefu natarajia kuanza ujenzi maeneo ya kigamboni. Ramani nilishapata hadi kibali sasa imebaki mimi tuu kuanza. Kuna fundi mmoja nilimtafuta anikadirie gharama na gharama za material tulizo kadiria kuanzia msingi hadi lenter zilikuja TZS 9.6M na yeye akasema ya ufundi...