Umeme ni moja ya gharama inayokula fedha sana,kwa sasa kwakuwa nimestaafu nipo home,natumia mbinu zifuatazo kupunguza matumizi ya umeme:
1.Kwenye nyumba nayoishi na mrs na familia kuna ststem mbili za umeme,wa tanesco na sola.Taa za kwenye geti na fensi natumia sola ambazo hujiwasha kuanzia saa...