Iwe ni kweli au siyo kweli, kuna wachezaji wa nje wanalipwa mshahara zaidi ya hiyo signing fee kwa mwezi na wanalipwa bila shida yoyote, usajili wa wachezaji wa nje hauna shida yoyote lakini ikifika suala la mchezaji wa ndani, kwanza wanashushwa thamani, mishahara midogo, usajili migogoro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.