Napongeza sana uwekezaji wa Azam kwenye SeaTax , vivuko vipya kutoka Kigamboni - Magogoni - Kigamboni.
Ni jambo jema japo lilichelewa.
Ishu inakuja kwenye gharama ya kuvuka, kwa sasa ni Tsh 200/= ila kuna tangazo la bei Mpya ambayo ni Tsh 500/= ikiwa ni ongezeko la % 150.(asilimia) na kadi zao...