Naomba kwanza niliweke wazi jambo hili kwamba … Kama kweli upo serious na Biashara yako, basi mambo yafuatayo hutoyaona kama ni Gharama bali ni Uwekezaji.
Sasa ntajaribu kuelekeza kwa ufupi kulingana na uzoefu wangu. Maana kwenye hili suala la gharama za website kuna mambo mengi mno, so...