Huku chama langu pendwa @SIMBASPORTSCLUBTZ Likiwa ndo timu ya kwanza duniani kote kuandaa na kufungua pazia la michuano hii maarufu ambayo miaka miwili nyuma ilizua taharuki huko ulaya kwa madai kwamba itaua nguvu ya michuano ya ulaya kwa ngazi yavi labu.
Ila leo hii mnyama atakuwa anafuatiliwa...