gheto langu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Siri wa kokwa la embe hajapaisha penati kafungia alikoishia mtunzi wa gheto langu

    Wahamiaji kutoka kwenye nchi yenye vidaradara vyetu vingi vya hewan ukanda wetu walikamatwa hapo nchi ya Comoros wakiwa wamepanda Punda, Tena punda ina harufu kama imekula mchuzi wa mfalme, Mziki ukaanza sasa Nani mmiliki wa Punda? Za ndaaaaaaani baada ya kusikia Punda Ana harufu ya mchuzi wa...
  2. Kuna Vibaka nawaona kabisa wanakula Rada Dirisha la Gheto langu, tafadhalini nichagulieni Adhabu ya kuwapa ambayo hawatoisahau Milele

    Je, 1. Wakija Kuniibia nimsaidie Kazi Israeli ili wakayaanze Maisha yao mapya Kinondoni au Kisutu? 2. Wakija Kuniibia niwe tu Mpole wachukue watakacho 3. Wakija Kuniibia nivizie wa Kwanza kuingiza / kupenyeza Kichwa chake Dirishani Kwangu na nikitenganishe Kichwa chake na Kiwiliwili? 4...
  3. Sitokaa nimuazime mtu gheto langu tena mwisho jana

    Jamaa yangu rafiki aliniomba geto ili aweze kuchakata mbususa demu fln ambaye pia mimi namfahamu walichonifanyia sitokaa nimuazime mtu geto langu nahisi yule manzi walifanya maksudi tu kuliloanisha godoro langu pumbafu Sana yaani mimi niwakulala kwenye sofa Kweli? Ukiniuliza kwanini hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…