ghorofa kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Rais Samia: Jengo la Kariakoo kulikuwa na mchanga mwingi kuliko nondo na saruji

    Rais Samia kushiriki chakula cha mchana na walioshiriki zoezi la uokoaji kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo leo Januari 30, 2025. https://www.youtube.com/live/LgA_7LztiWs?si=pYPP89J1A45x_7MG Kuhusu tukio la ghorofa kuporomoka soma hapa: Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu...
  2. Waufukweni

    Waziri Mkuu Majaliwa azindua Tume Maalum ya Wajumbe 21 kuchunguza ajali ya Jengo Kariakoo

    Kwa mujibu wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Tume maalum ya wajumbe 21 ambao wamebobea kwenye masuala ya ujenzi kuchunguza chanzo cha tukio la ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo, pamoja na kufahamu ubora na uimara wa majengo yote yaliyoko Kariakoo. Tukio...
  3. Waufukweni

    LGE2024 Godbless Lema: Dar Ghorofa limeanguka limeua watu 20, wale watu wameuawa na Serikali. Vibali vimetolewa kihuni watu wamekufa

    Akiwa kwenye kampeni leo mjini Arusha, Godbless Lema "Juzi mmeona Dar es Salaam, na hili jambo huwa nalisema kila siku yeyote anayekataa kupigania zana ya Utawala bora atakutwa na mauti ya kudharau zana ya utawala bora. Dar es Salaam ghorofa limeanguka limeua watu karibu 20, ile ni kukosekana...
  4. M

    Rais Samia anadai wakati tukio la kubomoka jengo Kariakoo linatokea alikuwa tayari safarini kule Brazil. Kaamua kutudanganya?

    Nachojua Tukio la ajali Kariakoo wakati linatokea Rais Samia alikuwa bado nchini, kaondoka nchini baada ya ya tukio kuwa tayari na taarifa alikuwa nayo, ila akapanda ndege kwenda Brazil, leo anasema wakati tukio linatukia alikuwa tayari safarini kwa nini anadanganya umma? Taarifa ya Ikulu...
  5. Roving Journalist

    Dar: Rais Samia atembelea eneo la ajali ya ghorofa Kariakoo, asema vifo vimefikia Watu 20

    Rais Samia Suluhu Hassan amewasili hivi punde Kariakoo, Dar es Salaam, ambapo jengo la Gorofa liliporomoka Jumamosi na kusababisha vifo vya watu na wengine kujeruhiwa. Kuhusu ajali hiyo, soma LIVE - Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 16 wafariki 77 waokolewa Alipofika...
  6. The Watchman

    Aliyenusurika katika ajali ya ghorofa Kariakoo asimulia alivyonasa na kuokolewa katika jengo hilo

    Inasikitisha sana, poleni wote waliofikwa na janga hili. Miongoni mwa watu walionusurika katika ajali ya jengo la Kariakoo, jijini Dar es salaam Tanzania, Norbert Oswald amesimulia jinsi alivyonasa na kisha kuokolewa yeye na kaka yake wakati alipozungumza na mwandishi wa DW Yakub Talib. Soma...
  7. Melki Wamatukio

    Ex wangu kaniepusha na ajali ya kuangukiwa na ghorofa Kariakoo

    Nilitakiwa kuweka bandiko hili siku ya tukio. Ni vile tu nilipatwa na kihoma cha mfadhaiko na mshangao wa hali ya juu kilichopelekea kumtafakari zaidi Israel na kujisahau kuingia JF kwa Baba yetu mpendwa, Mh. Maxence Melo Wiki moja kabla ya tukio niliachana na Deborah, hii ni baada ya kichapo...
  8. figganigga

    Dar: Waziri mkuu aongoza Wananchi kuaga miili ya waliofariki kwa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa kariakoo

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza maelfu ya wananchi wa Dar es Salaam kuaga miili ya waliofariki kutokana na ajali ya kuporomoka kwa jengo la Ghorofa eneo la mtaa wa Congo na Mchikichi kata ya Agrey Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam lililoanguka tarehe 16 Novemba, 2023. Tukio la ibada...
  9. Waufukweni

    Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema hakuna mtu yeyote ambaye anaruhusiwa kuchangisha fedha kufuatia tukio la ajali ya kupomoka kwa grorofa la Kariakoo. Pia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuzungumza katika eneo hilo akasema JENIFER JOVIN maarufu...
  10. B

    Maafa ya kariakoo Rais hapaswi kulaumiwa

    Mambo vp wakuu.. Nimekuwa nikifatilia nyuzi nyingi humu pia hata mitandao mingine. Watu wengi wamekuwa wakimlaumu sana Raisi wa nchi.. Lawama nyingi zikiwa ni kwanini Raisi asafiri wakati Kuna maafa nchini kwake?? Kariakoo waziri mkuu alienda na kutoa maagizo .. sasa Raisi afate Nini?? Je...
  11. Father of All

    Ajali ya kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo nani wa kulaumiwa baina ya wajenzi na serikali?

    Japo bado tunaombeleza, tunapaswa kuanza kutafuta suluhu ya mabalaa kama haya ambayo nimekuwa nikiyasikua huko kwa majirani zetu Kenya, India na hata Nigeria. Sasa yametufika. Kwanza, nani alaumiwe baina ya wenye nyumba na serikali? Pili, nini dawa ya tatizo hili? Je tutegemee mengine kama...
  12. Waufukweni

    Shuhuda: Nimewaokoa watu wanne, nikaangukiwa na tofali mkononi

    Mmoja Kati ya vijana mashujaa katika uokoaji kwenye ajali ya ghorofa iliyoporomoka, Nassoro amesema jana kabla ya kuangukiwa na tofali mkononi ambalo lilikatisha harakati zake alifanikiwa kuokoa watu wanne. Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
  13. Anti-tozo

    Kwa hili lililotokea kariakoo jana kama bado tunahitaji kujifunza na majanga.

    Basi tutakuwa na vichwa vigumu sana 1.kwa tathmini ya haraka haraka ni majengo mangapi mpaka sasa kariakoo hapo hapo ujenzi unaendelea na biashara bado zinafanyika papo hapo? 2.Tunachukua hatua gani kupitia mfano huu? 3.Bado kwenye swala la kufanya maokozi katika majanga ni changamoto kwetu...
  14. Nyanda Banka

    Siri ya Maisha na ghorofa la Kariakoo

    𝗦𝗜𝗥𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗜𝗦𝗛𝗔 Maisha yanaweza kubadilika kwa sekunde tu, kutoka kupambania rizki mpaka kupambania uhai yaani hakuna ajuaye nyakati hizi maana kila kitu ni ndani ya dakika tu kinachukua sura mpya. Kutoka nyumbani salama na Familia inakusubiri urejee na chochote kitu, mpaka sasa Familia...
  15. Yoda

    Vipi likitokea tetemeko la Ufa au Tsunami Dar? Ghorofa za mji zitahimili?

    Majanga ya asili duniani yapo na yanaweza kutokea muda wowote. Kuna maeneo mfano Asia nchi kama za Japan, China, Indonesia, Uturuki, Iran n.k wao matetemeko ya ardhi ni sehemu ya maisha, nchi kama Marekani wao vimbunga ni sehemu ya maisha. Hizi nchi wanajipanga sana kupunguza madhara ya haya...
  16. and 300

    Ukipatwa janga TZ usitegemee Msaada wa haraka

    1. Kwenye sekta ya uokozi bado sana. Majanga hatujayapa kipaumbele zaidi ya ununuzi wa Magari ya kifahari. (MV Bukoba, Ajali ya Treni Dodoma, Tetemeko Bukoba, COVID, Ajali precision air, jengo kuanguka Kariakoo). 2. Watu wamekwama hapa hapa kariakoo siku ya pili bado hakuna aliyejiuzulu mpaka...
  17. Yoda

    Kuanguka ghorofa Kariakoo; Kuridhika au kutoguswa na upuuzi unaohatarisha maisha yako ni kushiriki kujimaliza mwenyewe.

    Kwenye huo mkasa wa kuanguka kwa ghorofa Kariakoo kuna mengi yanasemwa ila linalozungumzwa zaidi ni hili la ghorofa kuchimbwa katika msingi kujenga underground. Kama ni kweli watu walikuwa wanachimba hilo ghorofa kwenda chini ila kutengeneza huo upuuzi unaitwa underground/basement halafu...
  18. Waufukweni

    Sauti za waliofukiwa na Ghorofa Kariakoo: "Tuko hai lakini tunateseka, tusaidieni tutakufa"

    Ayo TV imeongea kwa njia ya simu na mtu aliyepo chini na wenzake tangu asubuhi Novemba 16,2024 ghorofa lilipoporomoka ambapo amesema yeye na wenzie 10 wapo hai lakini hali zao ni mbaya. Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Majeruhi 63 kati ya 70 waruhusiwa, uokozi...
  19. Waufukweni

    Rais Samia atoa pole kwa waathirika Kariakoo. Aagiza kufanywa kila linalowezekana kufanikisha zoezi la uokoaji na tiba kwa majeruhi

    Rais Samia amesikitishwa na ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo, Mkoani wa Dar es Salaam iliyotokea asubuhi ya leo Novemba 16. Pia, Soma: Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16 "Nimesikitika kupokea taarifa ya ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa katika Kata...
Back
Top Bottom